Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Viongozi waingia kutapeli ardhi ya walalahoi
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Wana JAMVI HOSPITALI YA RUFAA SINGIDA inadai shilingi bilioni mia nane kukamilika. Taarifa hiyo alipewa Mheshimiwa Dkt Seif Rashid alipofanya ziara mkoani humo jana na Mtaalamu wa Chuo kikuu cha...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Rungu la KODI kwa wafanyakazi limerejeshwa tena kinyemela bila hata kutangazwa na waziri wa fedha kwenye hotuba ya bajeti! Allwance zote zitakatwa kodi kama zamani na TRA tayari wameanza kusambaza...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Kipindi kabla ya nchi yetu haijaonyesha nia ya kuelekea katika mifumo ya kiliberali, ilikuwa tunafundishwa shuleni nadharia hii ya W.A.S.U. wakubwa walitufundisha na ilikuwa ni lazima ukariri na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KIZA kimetanda juu ya siku rasmi ya kurejea kwa Dk Stephen Ulimboka nchini baada ya kuelezwa kuwa licha ya hali yake ya afya kuimarika matibabu yake yanatarajia kuwa ya muda mrefu. Hivi karibuni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mheshimiwa Leticia Nyerere amesema Tanzania haina mamlaka ya kimataifa ya kutumia mtandao wa Internet na kutumia huduma zinazotokana na internet kama E-mail mitandao ya kijamii n.k. Je hayo ni ya...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Nchi ya Tanganyika inapotea na kuangamia kwa kukosa Viongozi wenye Maarifa. Mawazo yao yamejawa na husda na tamaa za kuishi vizuri wao na familia na bila kumkumbuka yule wa hali ya chini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Napendekeza kauli mbiu ijayo iwe ni VAA GWANDA PIGA KWATA. Kupiga kwata hapa kunatafsirika kuwa baada ya kuvua gamba watu wetu wanahitaji kupewa semina juu ya kutambua na kusimamia haki zao...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Watanzania tumebakiza takribani miaka mitatu tuingie kwenye uchaguzi mkuu wa rais, bunge na madiwani. Nashangaa kuona/ kusikia kuwa kuna wana siasa wameanza kujinadi kwenye magazeti na redioni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali inampango wa kutumia kiasi cha shillingi 42billioni kwa mwezi ili kuepuka mgao wa umeme unaotegemewa kuanza hivi karibuni...matumizi haya ni kwa muda wa miezi sita Source: Tweet...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msomi Mh. Waziri wa Mawasiliano, sayansi na Teknolojia kashindwa kabisa si tu kuwakumbuka Wabunge bali hata kusoma toka kwenye karatasi yake majina yao. Je huyu anawezaje kuleta mapinduzi ya...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Nauliza tu wakuu,maana nilisikia amelazwa huko!itakua vizuri nikajua na maendeleo ya afya yake.
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Nasikitika sana kuona tasaf inatoa fedha nyingi katika ujenzi wa madasa pamoja na madawati lakini,hayawezi kudumu miaka kumi.Madarasa mabovu,yapo chini yakiwango.Wanalijua lakini wanalifumbia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Kwa muda mrefu sasa, wabunge wengi wanapochangia hoja za mawaziri wanaowasilisha bajeti zao bungeni wamekuwa wakiwalaumu mawaziri kwa kutotekeleza ahadi za serikali kwenye majimbo yao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
DIWANI wa Kata ya Kigamboni jijini Dar es Salaam, Dotto Mtawa (CCM), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za wizi wa gari. Habari za uhakika ambazo Tanzania Daima imezipata...
1 Reactions
82 Replies
10K Views
POLISI mkoani Kigoma inawashikilia watu watatu wakiwemo wafanyakazi wawili wa basi la Osaka linalofanya safari kati ya Kigoma na Dar es Salaam, wakituhumiwa kufanya biashara haramu ya kusafirisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TANZANIA sasa imekuwa nchi ya misiba na tunadiriki kusema kwamba mara nyingi misiba hiyo imekuwa ya kujitakia. Haipiti siku kabla vyombo vya habari havijatangaza habari za vifo vya mamia ya watu...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
kesi ya Uchaguzi Iliendelea jana (23.07.2012) katika mahakama ya Nzega, hatua iliyofikia ilikuwa ni Mh. J.P.Magufuri kujakutoa maelezo ya utetezi kuhusu tuhuma zinazomkabili za kutumia nafasi ya...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Wanabodi. Chadema wanadai eti Intelijensia yao imenasa habari za kuwindwa na kuwawa wanasiasa watatu Slaa, Mnyika, Lema, pamoja na mtambo wa mawasiliano...madai ya aina hii mbali ya kuwa ya...
4 Reactions
95 Replies
7K Views
Ratiba ya M4C Arusha Mjini Julai 27.Kata ya Kaloleni eneo Mianzini Julai 30.Kata ya Daraja mbili eneo la Relini Julai 31.Kimandolu eneo la Kijenge chini Agost 1.Sombetini eneo la Mbauda sokoni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…