Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sumatra ilisema abiria walikuwa 288 (watu wazima 288+31+9 watoto na mabaharia) Ikulu Zanzibar ilitaja abiria 290 (sijui wawili walitoka wapi) Leo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa DSM imebandika majina ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo gazeti huru la Annur limeandika kwamba kitendo cha Mh spika kukataa hoja za wabunge alipoombwa kuahirisha bunge na kutoa maneno amabayo hayakuwa na Msingi kulifanya baadhi ya Wazanzibar...
1 Reactions
108 Replies
11K Views
20 JULY 2012Kuzama Mv Skagit, ziri nzito yafichuka *Yadaiwa usalama wake ulikuwa mdogo *Serikali Z'bar yabebeshwa lawama *Maiti 58 zaopolewa, 128 wanasakwa *Bunge laomboleza, bendera nusu mlingoti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jamvi habari? Jana bungeni mwanasheria mkuu wa serikali mhe. Werema alitoa kauli yenye utata ya kuwa "....kazi ya kichwa si kuotesha nywele tu, ni pamoja na kufikiri...." kauli hii inakuja...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The history of Africa is full of tales of movements and exodus of various communities moving from there places of origin to the present habitual homesteads...,taking a glimpse of Tanganyika you...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya makubaliano waliyokubaliana nccr na chadema kuwaomba waondoe kesi ya jimbo la kawe na kukubaliana kuwa watawashirikisha katika baraza kivuli la upinzani sasa NCCR wameachwa solemba ya...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Mambo anayofanya Jaji Werema yanaenyesha taaluma ya sheria inakufa. Werema badala ya kutoa arguments za kisheria anajikita kwenye ushabiki wa CCM. Hatukatai kulinda maslahi ya aliyemuweka...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya chadema kwa karibu sana na kugundua kuwa hujaa watu wengi sana kwa sababu ndio wanaonekana kimbilio pekee la watanganyika , lakini kwa mbali namuona huyu Nnape...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni dhahiri kuwa CHADEMA wamesukiwa mikakati maalum ya kumalizwa kwa kutumia vyombo vya dola yaani Polisi na Mahakama. Kwa sasa ni vema wakafanya vikao vya dharula kujadili hali iliyopo. Pia ni...
1 Reactions
1 Replies
767 Views
naomba kujua ndugu zetu watanganyika waliokuwemo ktk meli iliyopata ajali nchini zanzibar!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), limeanza mkakati wa kupanua wigo wa kutangaza utalii katika hifadhi zake, ambapo limezindua kampeni maalum ya kutangaza vivutio hivyo katika mji wa Seattle...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inasemekana ziara ya rais wa Liberia, bi Hellen Sirleaf Johnson ni mkakati wa mkuu wa kaya kumuandalia mazingira ya Urais Dr Asha Rose Migiro, kwa kuwaonesha watanzania wasiojua kuwa marais...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Jana nilikuwa MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL PED WARD. Nilikuta maintern wanatibu wagonjwa, sikuweza kudodosa kuwa wale ni maintern wapya au wale waliofutiwa leseni maana maintern wote wa MD...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
IJUMAA, JULAI 20, 2012 06:15 NA BENJAMIN MASESE, DAR ES SALAAM MHADHARA uliofanyika juzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na kuhudhuriwa na Rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika kile kinachoonekana ni vita sasa kati ya serikali na CDM jeshi la polisi nchini limeamua kumfungulia mashtaka mhadhiri wa chuo kikuu cha DSM na mjumbe wa Kamati kuu CDM Dr Kitila Mkumbo kwa...
0 Reactions
93 Replies
8K Views
Ndugu zangu wabunge naona weekend hii wameamua kuendelea na vikao baada ya kusitisha zoezi hili katika kipindi ambacho kulitokea ajali ya meli. Lilikuwa ni jambo jema kuahirisha kikao kwani...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
1)BBC SWAHILI: waumini wa dini ya Kiislam wa Zanzibara wametayanywa na askari polisi walipokuwa wakiwaombea dua waliofariki 2)Idhaa ya kiswahili ujerumani. Polisi watumia nguvu kuwatanya waislam...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Please keep it in mind that this struggle may be a moral one, or it may be a physical one, and it may be both moral and physical, but it must be a struggle. Power concedes nothing without a...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wadau karibuni tuungane na kina Dotto Bulendu katika udadavuzi wa habari zilizotokea wiki hii hususan ajali ya mv skagit na ze komed za bunge. karibuni.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Dr. Kitila Mkumbo kushitakiwa na Serikali kwa kutoa lugha ya matusi katika mkutano wa hadhara. Livingstone Lusinde kutoshitakiwa kwa kutoa lugha ya matusi katika mkutano wa hadhara/ kampeni...
1 Reactions
1 Replies
846 Views
Back
Top Bottom