Kwa nyakati fofauti, wengi wetu tumejifunza katika historia ya nchi yetu kwamba moja ya sababu za msingi ambazo Mwalimu Nyerere alizitaja miaka 50 iliyopita kwamba ni kikwazo kwa Maendeleo ya...
Jana tulisikia kauli zenu na mukasema Uamsho wapo Serikali. Sisi tunayakubali maneno yenu na tunakiri kuwa ni kweli Uamsho wapo Serikalini. Ila nyinyi mumeshindwa kuwataja kwa majina sisi...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM)
jimbo la Liwale, Zainabu Kawawa
Madiwani wa chama cha CUF wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, wamemzuia Mbunge wa Viti Maalum (CCM) wa jimbo la...
Kuna taarifa za chini ya kapeti toka makao makuu ya nchi kuwa bwana mkubwa baada ya kukutana na EL Ughaibuni wamekubaliana kuanzisha mikakati mizito ambayo itapelekea EL aingie madarakani kama...
Movement For Change (M4C) a.k.a Vua Gamba Vaa Gwanda jumatatu itatua Simanjiro kwa Ole Sendeka kwenda kuwa vua magamba pamoja na kumtambulisha kamanda wao mpya Ole Milya, watazunguaka kata 14...
Saturday ,21 July 2012 06:17
Hali ya utoaji wa huduma katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili inaendelea kuwa mbaya siku hadi siku toka madaktari katika hospitali hiyo warudi kazini kufuatia...
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Omari Hassan Mnkhon ambaye ni Meneja wa boti ya Mv Skagit, kwa ajili ya mahojiano baada ya kubainika kwamba kumekuwa na kasoro za...
Signal Cable ya TBC kutoka Bungeni imechomolewa wakati Naibu spika akitota na Bunge lake baada ya kushindwa kupindisha kanuni za bunge!.. Hata hivyo Mhe.Tundu Lissu alisimama akatukanwa na Mbunge...
Naanza kwa kunukuu,"BINADAMU TUMEPEWA VICHWA KWA AJILI YA KUFIKIRI NA SIO KUFUGA NYWELE,HII INA MAANA KUWA SIO KILA MWENYE NYWELE ANA UWEZO WA KUFIKIRI".Critically discuss this statement.
Kuna jamaa kanipa nyepesi nyepesi kwamba Mh. Livingstone Lusinde anashawishiwa ili akubali maombi ya kuteuliwa kuwa Katibu Mwenezi wa vyama vya siasa vipya vilivyoanzishwa hivi karibuni ( ADC na...
Akidi haijatimia kufanya maamuzi ndugai analazimisha maamuzi yafanywe.
Pamoja na kusomewa na james mbatia, kanuni inayowaongoza katika hilo, HUYU MNAMWITA NDUGAI, hayuko tayari kuelewa. Ni ubabe...
Mbunge wetu wa Same Mashariki ametusaliti baada ya kutuahidi Kiwanda cha tangawizi kitaanza kufanya kazi msimu huu wa mavuno na kupandisha bei kutoka 1200 hadi 2500.
Kutokana na ahadi yake...
Mie naomba niwaulize ndugu zangu watanganyika, hivi mnadhani kwa jinsi hawa uamsho wanavyotuchukia wabara hii meli ingezama mwanza wangeahirisha vikao vya bara la wawakilishi au hata kushtuka...
Bajeti ya wizara ya kilimo, ushirika na masoko imeshindwa kupitishwa kwa sababu idadi ya wabunge wanaostahili kuwemo bungeni ili kupitisha bajeti haikufikiwa. Quorum inayotakiwa ni wabunge 175...
Kuna habari za hapa na pale zimeanza kuenea kuwa kuna kikundi cha polisi wamepigwa ambush usiku huu na kuumizwa vibaya huko zanzibar ,uvumi unasema mpaka sasa ni kuwindana ni allout fighting.
Ni maajabu nayashuhudia live TBC toka Bungeni Dodoma. Yapata dakika kama mbili hivi zimepita Naibu speaker katoa maagizo wabunge wote walio nje ya bunge waitwe kwa kengele kama utaratibu...
MBUNGE wa jimbo la Ubungo, John Mnyika atakuwa ni mmoja wa mashahidi wa Serikali watakaoithibitishia mahakama namna walivyohusika washtakiwa wanaotuhumiwa kumuua Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa...
MADIWANI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilayani Arusha wamechafua hali ya hewa kwa kususia uchaguzi wa Naibu Meya Halmashauri ya Manispaa ya Arusha, kitendo kilichosababisha...
Katibu wa vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Singida, amefanikisha zoezi la kuwawadhamini (vjana wanaosadikiwa kuwa majambazi) waliokodishwa toka Dar kuja Singida kwa ajili ya kufanya fujo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.