Uhuni huu wa TBC kuchomoa Signal Cable wakati Bunge Limetota haukubaliki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhuni huu wa TBC kuchomoa Signal Cable wakati Bunge Limetota haukubaliki.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ni Mimi Msiogope, Jul 21, 2012.

 1. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Signal Cable ya TBC kutoka Bungeni imechomolewa wakati Naibu spika akitota na Bunge lake baada ya kushindwa kupindisha kanuni za bunge!.. Hata hivyo Mhe.Tundu Lissu alisimama akatukanwa na Mbunge mmoja wa CCM!.. TBC hapa mnapofikia sasa mtachomewa hilo jengo!
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,830
  Trophy Points: 280
  yani tbc wamaamua kuzima mitambo ili kuficha aibu ya ccm na serikali husika.
  hii si sawa.
  TBC wanakinga mkuki kwa kutumia kipande cha shuka.
   
 3. K

  Kyindokyakombe Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kilichotokea ni SPIKA aliandika kimemo kiwaendee TBC ili wakate MATANGAZO AIBU AIBU CCM Mtaendeleza umafia wenu nje ya bunge mpaka bungeni
   
 4. Bitende

  Bitende Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TBC wameona naibu spika kabanwa mbavu na mbatia, tundu lisu,manchali sasa wamekata mawasiliaono watanzania tusione kinachoendelea au kujua ni maamzi gani naibu spika ametoa,wabunge hao wlikuwa wanambana mbavu naibu spika kwa kanuni no.77 wakiomba bunge kuahirishwa kwani hawfiki nusu ya wabunge ili wasitahili kuamua kupitisha bajeti ya wizara ya kilimo na ushirika.
   
 5. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasikia kabla hata kimemo hakijafika kwenye chumba cha kurushia matangazo pale Bungeni jamaa wa Usalama wa Taifa alichomoa Signal Cable!
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Hii habari sijaielewa kabisa ningeomba muanzisha thread atoe ufafanuzi wa kina kilichojiri huo mjengoni.Walioelewa ni wale wanatazama TBC1 muda huu wengine tunapiga mzigo.
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  kama hujui signal cable ikichomolewa nini huendelea basi hujifunzii jf ku-aquire hiyo knowledge, nenda darasani mkuu (ict)
   
 8. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bunge lilikuwa kwenye hatari ya kupitisha bajeti ya Wizara likiwa na wabunge 110 tu wakati kanuni za bunge (kwa idadi ya wabunge waliopo) walipaswa kuwa zaidi ya 172. Wabunge Tungu Lissu, James Mbatia, Moses machali wote wakaomba mwongozo wa Spika. Yeye Mbatia alitoa hoja kutaka wahesabiwe kama wanafikia idadi inayotakiwa.. Naibu spika akaona jaribio lake hapo limefeli baada ya kukuta wapo chini ya namba akasema kengele igongwe wabunge watoro waingie. Bunge likakaa kimya huku wengine wakionekana kuongea. Mhe.Tundu Lissu akasimama. Kabla hajaongea Naibu Spika akasimama.. Akiwa anaongea kwa kusitasita huku akinong'onezana na mhudumu wa Bunge Signal Cable ikachomolewa. (Tunaotumia Satelite cable ikichomolewa inaonyesha)
   
 9. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,380
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Hiyo ndio TBCCM bana mbaya zaidi wana onekana worldwide!
  F***** tbccm!
   
 10. LOWE89

  LOWE89 Senior Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hakika ni aibu kubwa mno watu tumeona tu Naibu spika kaganda na mkono wake mfukoni akiweka miwani, sijui hii tv ni ya aina gani ambayo hata haiwezi kubalansi mambo. Loo!!!! Tunaomba jioni ITV, Star Tv mtupe full coverage ya kilichoendelea baada ya hapo - tafadhari sana!
   
 11. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Viongozi wa Bunge hili nao wanachangia sana kuidondosha CCM yetu. Sijui tutajishia wapi, maana pote hapakamatiki.
   
 12. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  aisee nimeona wakati Ndugai akisema gonga kengele walioko nje waingie, kukawa silent kwa muda, kwa mbali nikaona km Tindu Lissu kasimama anaongea jambo lkn, sisi tulioko nje ya bunge hatusikii, sikuona hao wabunge aliosema wako nje wakiingia, tena Tundu Lissu akasimama, alikuwa anaongea halafu kuna sauti ikasikika kaa chini, mbunge dhaifu wa ccm akaropoka, ndugai akawa km anataka kuwasha kipaza sauti, anasita sita heeee mara no signal, magamba wakaogopa kuumbuka. Liwalo na liwe CCM lazima afurushwe km mkoloni
   
 13. T

  TATOO Senior Member

  #13
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman sisi wengine tbc ccm zaidi ya mwezi haionekani..vp kwani leo j'mosi kuna kipindi cha bunge kinaendelea???
   
 14. T

  Think Tank JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 234
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nilifikilia labda mi kadish kamecheze lkn nlvyocheki strength iko 38 wakati hata 18 huwa clear.Lakn siwalaumu ndio matumz kichwa,kwan c unamwona naibu sub ufa hana nywele kabisaaa.....!Mhando ndio ulfundshwa hvo chuo eeh!Hongereni sana Tbc kwa kutumika ila kumbuka 2016 mtakuwa bado hapo?Ni mtazamo tu......!
   
 15. Alwayz on top

  Alwayz on top JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 558
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  bungen leo vioja tupu..jaman twenden tbc tukalivunje lile jengo zle ni kodi zetu lkn znawabeba magamba hii haikubaliki hata kidogo
   
 16. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ndiyo. Wanafidia posho ya ile siku ya ajali ya meli ambayo kikao hakikuendelea.
   
 17. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwakweli inasikitisha sana; Kama kweli ni mpango wa Serikali kuwanyima watanzania wa kupata habari na kujua ni nini kinajiri katika Serikali yao basi tunaelekea kubaya.
   
 18. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Wait a minite,, ivi j3 wabunge wakifika 200, huo mswada utapita au utakwama?!!!!
   
 19. T

  Think Tank JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 234
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Au wanataka kupitisha kibabe bila wananchi kuona,ili baadae waseme kolamu ilitimia.
   
 20. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,799
  Likes Received: 6,309
  Trophy Points: 280
  TBC wanaendeshwa kwa remote - robot design. Yaani mtu yeyote wa Ikulu anaweza kuwapigia simu na kusema ''hebu ondokeni hewani until further notice, hii ni amri ya mkuu'' na wao wanakurupuka kutenda kama walivyoagizwa. Ni aibu sana
   
Loading...