Mh. Livingstone Lusinde Kuwa Katibu Mwenezi Taifa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Livingstone Lusinde Kuwa Katibu Mwenezi Taifa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rich Dad, Jul 21, 2012.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kuna jamaa kanipa nyepesi nyepesi kwamba Mh. Livingstone Lusinde anashawishiwa ili akubali maombi ya kuteuliwa kuwa Katibu Mwenezi wa vyama vya siasa vipya vilivyoanzishwa hivi karibuni ( ADC na CHAUMA).
  Hivi vyama inasemekana vinashindana kupanda dau ili kuweza kumchukua mpambanaji Lusinde aliyejinyakulia umaarufu hivi karibuni katika kueneza sera za chama chake kule Arumeru. Kwa upande wake binafsi Mh. Lusinde kaonekana kushwishiwa zaidi za ADC ambayo imemuahidi kumpatia Marupurupu sawa na anayopata bungeni pili atakapokubali offer yao.
  Stay tuned for more updates.......
   
 2. Mjuni Lwambo

  Mjuni Lwambo JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 5,459
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Aaah, halafu sijaangalia vizuri, hivi nimeingia sehemu ya jokes au?
   
 3. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taifa linaangamia kwa kukosa maarifa
   
 4. Sisomeki

  Sisomeki Senior Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kudadadeki eeeh
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mr. Matusi awe katibu mwenezi wa kueneza matusi duuh loh !
   
 6. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Niseme nisiseme kudadededekiiiii.acheni utani bana..............
   
 7. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Mkileta hoja tutazijibu na mkitaka matusi tutatukana pia!!Kudadadeeeeeki!Niwalambe nisiwalambeee.......????
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  tetesi department mdau
   
 9. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ??????????????????????????????????????????????????????
   
 10. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,875
  Likes Received: 4,726
  Trophy Points: 280
  Me nadhani hata aliepost ni LUSINDE
   
 11. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  :yawn::yawn::yawn::yawn::yawn::yawn::yawn:
   
 12. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Hiyo ni stori ya kijinga kabisa kupata kuisikia wiki hii lakini kwa tabia ya lusinde ya kutalii katika vyama vya siasa inawezekana hata wakawa wamemwomba.
   
 13. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #13
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  futa hiyo MH. KWANZA
   
Loading...