Lema kuwashukia Ole Sendeka, Wassira na Lusinde | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lema kuwashukia Ole Sendeka, Wassira na Lusinde

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Jul 21, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Movement For Change (M4C) a.k.a Vua Gamba Vaa Gwanda jumatatu itatua Simanjiro kwa Ole Sendeka kwenda kuwa vua magamba pamoja na kumtambulisha kamanda wao mpya Ole Milya, watazunguaka kata 14 wakiwavua magamba na kupokea wanachama wapya na kisha wataenda jimboni kwa bingwa wa kusinzia bungeni Wasira na kumalizia kwa Lusinde..
   
 2. b

  beyanga Senior Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  m4c daima mbele
   
 3. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,290
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280
  Huko Bunda wameshafunga kazi, ndio maana haka kakilaza kengine Bulaya kameona chama lao halina future na kuamua kujiweka mbavuni mwa makamanda.
   
 4. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kwa Wasira waweke kambi kaya kwa kaya maana wanajifanya nchi yao hii
   
 5. only83

  only83 JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Kwa Wasira na mie nitakwenda.
   
 6. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 935
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 60
  Natamani niwepo mtera kwenye m4c kuliumbua hilo gamba lusinde
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wasisahau kwenda na clips za matusi ya Lusinde huko Mtera.
   
 8. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Kama kuna ziara muweke na zile namba za m pesa,nitatoa hata kama ni buku najua itasaidia.
   
 9. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tunasubiri hapa ORKESUMET dizaini ya jangwa lisubirivyo japo tone moja la mvua. Can't believe until i c.
   
 10. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Ole Sendeka naona kama ameshajua nini kinafuata kwakua tokea vikao hivi vya bajeti vianze amepwaya sana kule mjengoni sio kama ninavyomjua!
   
 11. RICARDO KAKA

  RICARDO KAKA JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 867
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Kwa Wassira jaamani naona kama wanachelewa kufika pale!
   
 12. j

  jigoku JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Tunaomba hizo ratiba tuwe tunazipata mapema kupitia ofisi za majimbo yote TZ maana kuna wengine tumeshaamua liwalo na liwe,tuko tayri kushiriki katika baadhi ya maeneo kama kwa yule bingwa wa kusinzia aka Nyara ya serikali,kwa mzinzi no1 nyigulu,kibajaji-lusinde.huko inatakiwa inapigwa ile nyumba kwa kwa nyumba,naona kuna haja ya kwenda kwa Ndugai pia maana anvyokuja sio sawa.M4C daima.
   
 13. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hiko poa but tuwe makini wasituhujumu kwa systle ya jimbo la Nchemba
   
 14. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,947
  Likes Received: 1,272
  Trophy Points: 280
  kila la heri
   
 15. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kwa wasira na lusinde itakuwa kama kwa nchemba,maandalizi ya kila namna yafanyike wasije wakajikuta wanapopolewa kwa mawe.KUMBUKA SHIGELLA NA NAPE WAMEAHIDI KULIPIZA KWA YALIYOTOKEA KIJIJI CHA NSAGO,NADHANI NDO MUDA WAO KUTIMIZA ADHIMA YAO
   
 16. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  M4C!
  Haitawaponyesha mafisadi kamwe!


  "tuwamwage mafisadi tuwamwage"
   
 17. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Mapambano yaendelee mpaka wataachia tuu.
   
 18. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Jiandaeni makamnda wanatua huko wakiwa full.
   
 19. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ccm hatuwataki jamani.....pumzikeni kwa haki
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Chadema utawapenda kwa kuwashabulia wapinzani wao.. mpaka kufika 2015 kudadade magamba yatabaki ya kuhesabu.
   
Loading...