Polisi wajeruhiwa na wengine mahututi Zanzibar

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Kuna habari za hapa na pale zimeanza kuenea kuwa kuna kikundi cha polisi wamepigwa ambush usiku huu na kuumizwa vibaya huko zanzibar ,uvumi unasema mpaka sasa ni kuwindana ni allout fighting.
 
Kuna habari za hapa na pale zimeanza kuenea kuwa kuna kikundi cha polisi wamepigwa ambush usiku huu na kuumizwa vibaya huko zanzibar ,uvumi unasema mpaka sasa ni kuwindana ni allout fighting.

JK asisahau kwamba 61% ya Ushindi mwembamba aliopata umetokana na waislam 59%.
 
Mapambano yanaendelea kwa wale wanaoijua zanzibar sehemu za Amani ,daraja Bovu mtoni na mjini kuna milio ya hapa na pale haijulikani ni nani anapiga au anapigwa.
 
Utasikia kesho lntelejinsia wanasema chadema wanahusika au uamsho
 
watu kibao wamekamatwa na kujazwa kwenye makarandika huku mshikemshike ukiendelea nasikia na jeshi wameingilia kati baada ya kuona polisi inalemewa.
 
Kuna habari za hapa na pale zimeanza kuenea kuwa kuna kikundi cha polisi wamepigwa ambush usiku huu na kuumizwa vibaya huko zanzibar ,uvumi unasema mpaka sasa ni kuwindana ni allout fighting.
Mwiba tafadhali nionyeshe shoo rum naweza pata kubota horsepower 25 liwe Left hand drive URGENT!!
 
Last edited by a moderator:
JK asisahau kwamba 61% ya Ushindi mwembamba aliopata umetokana na waislam 59%.
Haihusu, Wazenj mmeshaamua kupambana na askari wa huko ambao 98% ni waislamu tena mnawavizia sasa huyu JK katoka wapi tena leo yeye ndo karuhusu hao Uamsho na Mabomu?
Mlioko Bara ndio mnaochochea halafu kipigo kikizidi mtakimbila Somalia sasa na sio Mombasa
Huku Bara hasa Tabora Kondoa Dodoma Moro na Dar hajiiti Wazenj tena ila Waarabu, hebu mwacheni JK
 
Hiki kikundi cha kigaidi Kitaendelea kuvuruga amani ya zanzibar, na Watanganyika wanaoshabikia Ugaidi na UAMSHO wajifunze kitu hapo maana mmezoea kuita Utawala wa KIKRISTO sijui huko znz nako ni hivo ambako wakristo ni watu wadaraja la chini!
 
Back
Top Bottom