Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tawi la Magadirisho, Mji mdogo wa Usa-River kimeridhia uamuzi wa mwenyekiti wake wa Tawi Bwana Nuru Maeda kuvua gwanda na kuvaa gamba la CCM.
Tukio hili...
Ndugu zangu wana jf, nimekuwa nikifikiri na kufuatilia sana matukio ya ajabu na ya kutisha yanayotokea nchini mwetu, hasa ya ujambazi, wa kutumia silaha, ufisadi wa mali asili ya umma, na hili la...
Wanajf wenzangu naomba tukumbushane kidogo tu kuhusu hili tatizo sugu la ufisadi! G
kwa kweli kabisa kama sisi ni watu fair (unbiased) basi mtu anaitwa MKAPA ndo hasa alietuacha hapa leo katikati...
Saturday, July 21, 2012
Na Mohammed Mhina | Jeshi la Polisi - Zanzibar
ZAIDI ya wafuasi 40 wa kikundi cha Jumuiya ya Uamsho Zanzibr wamekamatwa na Polisi kufuatia vurugu zilizotokea jana...
Polisi wamefanya makosa makubwa sana na huenda wakashitakiwa katika vyombo vya ndani au vya kimataifa ,hakuna sababu ambayo wanaweza kusema ikakubalika, hakukuwa na fujo wala mikusanyiko...
Na: Maggid Mjengwa,
WATANZANIA tumekumbwa tena na balaa la ajali kubwa ya meli kuzama. Ni wakati sasa wa kujifunza kutokana na yaliyotokea huko nyuma.
Maana ajali ya Mv Skagit inaonekana...
Mwungano wa Tanganyika na Zanzibar ulifanywa kwa kuamini kuwa tukiwa pamoja kila upande utanufaika. Manufaa makubwa yaliyotarajiwa ni manufaa ya kiusalama na ya kiuchumi. Mwungano wetu haukufanywa...
Kuna tetesi kuwa kuna maandamano makubwa kuidai Tanganyika hali ambayo inaonekana ni mtikisiko mwengine unaotarajiwa kuikumba Tanzania ,maandamano hayo yatafanyika Tanganyika kote ambako miji...
Wadau,
Leo kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia kituo cha ITV nimemwona Bw. mwigulu mchemba akimlalamia Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Mhe. Mbowe kwamba eti alimwandikia kimemo cha...
TANZANIA sasa imekuwa nchi ya misiba na tunadiriki kusema kwamba mara nyingi misiba hiyo imekuwa ya kujitakia. Haipiti siku kabla vyombo vya habari havijatangaza habari za vifo vya mamia ya watu...
Wote walikuwa ma DG TANESCO
Similarities zao ni zipi na tofautii zao ni zipi na wali achieve nini pale TANESCO?
Je yupi kati ya hawa alikuwa na REALISTIC strategic plan ya kumaliza hili tatizo...
Kwa maamuzi ya spika kufuatia muongozo alioomba Mh. Tundu Lissu juu ya kauli ya mwanasheria mkuu wa serikali ni wazi na hii ndio tafsri yake kuwa ameruhusu Lugha ya kuudhi na kejeli kwa mtindo wa...
Jeshi la Polisi nchini, limetangaza orodha ya majina ya watu waliofariki katika ajali ya meli ya MV Skagit, iliyotokea juzi katika eneo la Chumbe Kisiwani Zanzibar.
Licha ya kutaja majina hayo...
Kuna usemi unaosema hivi:
'Do not wrestle with a pig, you will both get dirty and the pig likes it'
Na;
'..Dont argue with a fool, he will bring you down to his level and beat you with...
Ndugu zanguni,
Kumekuwa kila kukicha siku hizi tunasikia visima vya gesi vinatema kila kona ya tanganyika, Ruvuma , Mtwara, Mafia/songosongo, Na nasikia kuna matumaini makubwa ya mafuta lake...
Imebaki wanarumbana na kanuni kama kawaida ya ccm mwanasheria mkuu anajibu hoja kwa matusi na dharau. Lissu anamvaa tena
Updates
Chadema watoka nje wakiongozwa na Lissu
Watu wanaosadikika kuwa walichukua mafunzo ya Uuguzi kwa njia ya 'distance Education', ambao hata kusoma kwao hakueleweki, inasemekana waliingizwa muda usiojulikana katika mafunzo hayo na...
Frederick Werema
Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Wabunge CHADEMA wafanyiwa ujasusi
MTOTO WA KIGOGO WA CCM ADAIWA KUTUMIKA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimedai kugundua mbinu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.