Katibu wa vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Singida, amefanikisha zoezi la kuwawadhamini (vjana wanaosadikiwa kuwa majambazi) waliokodishwa toka Dar kuja Singida kwa ajili ya kufanya fujo katika mikutano ya CHADEMA.
Katibu huyo wa vijana wa CCM Ndugu Omari Mtua ametafuta vijana wengine wa CCM kufanikisha zoezi la kuwadhamini watuhumiwa saba:
Ili kuweka kumbukumbu sawa niwakumbushe kwamba vijana wamejitambulisha katika hati ya Mashtaka kuwa ni Abdala Mbwana Kingwande, (Mndengereko), ana Miaka 36, Mwislamu, Mfanyabiashara na Mkaazi wa Segerea Dar es Salaam.
Wa Pili Ni Nasri Salehe (Mnyamwezi), ana umri 28, Mwislamu, anakaa karikaoo, na ni mfanyabiashara. Wa tatu ni Laizimu Njama, ni MMakua, ana miaka 42, Mwislamu, anatokea Tandika/Temeke Dar es salaam. Wa Nne ni Mohamedi Abdalaa, Mluguru, ana miaka 34, Mwislamu, anakaa Kibamba Dar es Salaam, wa Tano ni Rudoviki Muganyizi, Mhaya, ana miaka 32, Mkristo, Ni Injinia. Wa Sita ni Justini Sangu, Mfipa, ana miaka 40, Mkristo anakaa Dar na ni mfanyabiashara. Wa Saba ni Salumu Ali Rashidi, ni Mmwela, ana miaka 26, Mwislamu, ni Mkaazi wa Tandika Jijijini Dar.
Maswali:CCM wana uhusiano gani na vijana hawa toka Dar waliokuja kufanya fujo Ndago? Mbona walipotoka Gerezani walielekea moja kwa moja ofisi za CCM? Nani ni ndugu yao kwenye ofisi hiyo? Katibu wa CCM wa Iramba alitoa gari kwa manufaa yapi?
Kwanini mpaka sasa Jeshi la Polisi halijamwita Mwigulu Nchemba, mtuhumiwa muhimu anayetajwa kuwa aliratibu zoezi la kukodisha majambazi hayo kuja kufanya fujo?
Kwanini Jeshi la Polisi hadi sasa linaogoma kuwakamata na kuwahoji waliofunguliwa mashtaka siku ile ile mbele ya Mkuu wa Kituo, OCS Longino, badala yake linawasaka wengine na kuwabambikiza kesi? (NDG/RB/190/2012). Hii kesi polisi wamehongwa kiasi gani kiasi kwamba hawawakamati waliofanya fujo?
Mnyika alitoa maelekezo RB Ifunguliwe muda ule ule mkutano ukiwa unaendelea baada ya kufanyiwa fujo Mengine