Chadema mmejifunza nini kutokana na kauli ya mwanasheria mkuu wa serikali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema mmejifunza nini kutokana na kauli ya mwanasheria mkuu wa serikali?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kichasi, Jul 20, 2012.

 1. K

  Kichasi Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Naanza kwa kunukuu,"BINADAMU TUMEPEWA VICHWA KWA AJILI YA KUFIKIRI NA SIO KUFUGA NYWELE,HII INA MAANA KUWA SIO KILA MWENYE NYWELE ANA UWEZO WA KUFIKIRI".Critically discuss this statement.
   
 2. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama ni cdm peke yao wanaopaswa kujifunza(kama kweli kuna cha kujifunza katika kauli ile) nadhani tunapaswa wote9cdm ccm na wananchi wote) kujifunza na kuona kwa kiasi gani serikali yetu unavyoweka nchi hii na maslahi ya watu rehani kwa kuendelea kuwa na mwanasheria wa hovyo na asiyefikiri kama werema.sidhani kama alipaswa kutoa matusi yale dhidi ya wabunge wote (hii ni kwasababu wabunge angalau wote akiwemo yeye wana nywele lakini haamini kuwa wanaweza kufikiria).kama mwanasheria mzoefu alipaswa kutafuta maneno yenye staha kujibu hoja ya lissu hata kama ungekua upuuzi wa namna gani.watu watashindwa kuelewa nani mjinga na nani mwerevu kama anayedai mwenzie ni mjinga anatukana hata kuliko huyo mjinga.
   
 3. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 874
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 60
  nilisikitika sana siku najisifia kuwa ni jaji, ni msomi, na kumdharau prof.shivji kuwa ni mwadishi wa katiba tu bali hajui sheria ya katiba.Kimsingi kama taifa linategemea kuwa tunamwasheria mkuu, ni hasara, tutaendela kuwa na sheria mbovu, usimamizi mbovu wa sheria.halafu angejua kuwa , hayupo bungeni kiushabiki wa vyma, bali anatetea watanzania wote kisheria.na si kuwa mnazi wa kuropoka na kuwa shabiki wa kisiasa na kusahau majukumu yake.Akumbuke yupo pale kwa mshahara wa kodi ya wananachi na si kuwa shabiki kwa mambo ya kisiasa kama mwendawazimu
   
 4. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tungo tata....
   
 5. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Nafikiri mimi binafsi Kama MTANZANIA nimejifunza kwamba AG Werema anakojoa akiwa kachuchumaa. Sina Mengi.
   
 6. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,840
  Trophy Points: 280
  ndio tatizo la wasomi madesa...

  GPA kubwa lakini hamna kitu kichwani...........
   
 7. makusanya

  makusanya JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Jamaa chizi yule!hata ukimuangalia 2 utagundua ana mapungufu kwenye ubungo,sisi madokta kumgundua mtu chizi jambo la kwanza mtazame jinsi anavyopepesa macho yake na kuyabinua same to huyu ag
   
 8. K

  Kirokolo Senior Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Nadhani huyu werema ni pungufu wa akili hasa ukixingatia dhamana aliyopewa na taifa hili. Nina shaka pia na uraia wake na lengo lake na mstakabali wa amani na ustawi wa taifa hili. Ameunyong'onyesha sana moyo wangu. Kwa hili hatajitoa kamwe kwenye kundi la "1kb brain". Ni aibu sana sana kwa AG wa taifa la watu milioni 45 kuonesha utaahira wake mbele ya umma kupitia chombo tukufu kama bunge, na watu wote hao hawajaingia barabarani kumkataa. Hafai hata kuwa mwangalizi wa shamba la kuku. Hivi takataka za aina ya AG werema zitaendelea kuchafua hali ya hewa bungeni hadi lini? I am very upset!
   
 9. K

  Kirokolo Senior Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Bora mi ni mkeo na huwa nachuchumaa wakati wa ku-pee! Unanilinganisha na huyo jelly fish? Usiponitaka radhi ndoa na wewe mwisho.
   
 10. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  kinacho msumbua Werema AG wa sisi si emu ni VICE AND DEVIANCE ukitambua hilo hamna haja ya kufikilia au kujadiri upumbavu wake.
   
 11. K

  Kyindokyakombe Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WEREMA maana yake ni REHEMA MWANA ASHA na si mwanasheria.
   
 12. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Wanasheria wanayo lugha ya staha sana ambayo mara nyingi huitumia ikiwa mtu amekosea katika jambo fulani,ila kwa hili Werema has shown unethical behaviour!
   
 13. miss strong

  miss strong JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 7,027
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Yani nimekasirika na zaidi ndugai kuitetea.
   
 14. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Sijakufananisha na Lile dubwana Jelly Fish mke wangu mpendwa nyongo mkalia ini. Naomba radhi MKE wangu furaha ya moyo wangu.
   
 15. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Watakomajeee ss mwendo mdundoooo
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Aki,nya si atalala!
   
 17. i

  iringa Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ukichunguza kwa makini hoja ya Lissu ilikua ni ya kitaifa iliyokuwa ikiitaji wabunge kujadili mustakabali wa watanzania wanaopoteza maisha kila mara kwa ajali, alitakiwa kupinga kwa hoja kwa kuonyesha kuwa hakuna haja ya kuijadili hoja ya Lissu kwa sababu kanuni zimekiukwa, na utetezi wa Lissu haukuwa sahihi kikanuni. Badala yake anasema hana akili. Sasa jiulize anayetaka maisha ya watu yaokolewe kupitia wawakilishi wao bungeni na anayepinga kwa kutetea utaratibu unaopendekezwa na serikali wa kuunda tume ambazo hazijawai toa ripoti zake tangu enzi za MV Bukoba , nani kati yao asiyetumia akili kama alivyotamka AG? na naibu spika anayemtetetea kuwa hakusema vibaya kwa kupingana na Lissu ili hali watazamaji wote tumeisikia kauli ya AG? hapa ndipo tulipofika watanzania na hawa ndio aina ya viongozi tulionao. Tafakari je hajali zitaisha Tanzania kwa staili hii? na ni maendeleo gani yatakoyoletwa na watu wa aina hii? Tuchukue hatua watanzania kwa kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi maisha ni yetu dhamana ya kuyalinda yako
  mikononi mwetu.
   
 18. K

  Kigano JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 349
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  actually, alivyokuwa anaongea(Mwanasheria), kama ulimwangalia vizuri, ni kama hakujua kama angeulizwa lolote, Ndugai pia hakujua kama jamaa (Lissu) alikuwa amejipanga vya kutosha. so, wakati Ndugai anarusha mpira kwa Werema, werema akaudaka bila hata kujua what was going on, akasoma kifungu kile kile ambacho jamaa ( Lissu) alikuwa amesoma, kilichopelekea Ndugai kubong'aa kwa muda mrefu akisoma bila kuelewa. Mwanasheria akaona njia pekee ni kujihami kwa matusi. actually ni kama kumaliza yapite. Ah, yaani napata shida kuelezea, It was like when deffenders of a football team are trying to clear the ball out wakati stikers want to score a goal. at that moment unachoweza kuona ni kukanyagana, na reffer akiwa ni shabiki wa "victim team" anaamuru "goal kick" kuelekea timu pinzani.
   
 19. Nkandi

  Nkandi Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ad hominem utumiwa na mtu aliyekosa hoja na majibu ya maswali.....
   
 20. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ag uchwara ndiye mnamjadili hapa?
   
Loading...