New: Wapinzani mpo wp.....????

Ston Merchant

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
393
103
:alien: Inasikitisha sna Wabunge wa Upinzani kutoongelea swala nyeti na la msingi kma hli la NSSF...!

Sio bungeni sio mtaani wabunge wa upinzani hawajavalia njuga ishu hii na inanifanya nijiulize;

- Wapinzani wana maslahi gn na haya marekebisho ya NSSF ..?
 
Kazi ya vyama vya upinzani siyo kukurupukia kila kitu hata bila kufanya utafiti wa kutosha.
 
Wewe pia kama mwananchi unayo role ya kuifanya kupinga hilo...au hujitambui nafasi yako?
 
Wewe pia kama mwananchi unayo role ya kuifanya kupinga hilo...au hujitambui nafasi yako?

wafuasi wa upinzani midomo yetu ni wawakilishi wa vyama vya upinzani walioko bungeni ndo wanaotusemea kitendo cha kutojitokeza hata kwenye forum hii kuungana na sisi japo kwa michango hata mimi kinanitia shaka...Nimemkumbuka Regia Mtema R.I.P
 
Niliongea na MP mmoja wa gambas anasema wengi wao wanashangaa jinsi marekebisho hayo yalivyochomekwa mwezi april. Anasema kipindi hicho akili ya wengi ilikuwa kwenye muswada wa katiba mpya. Ilifanyika makusudi maana walijua kuwa marekebisho hayo yangepata upinzani mkali. Hata hivyo hakuondoa uwezekano wa baadhi ya wabunge na vyama vya wafanyakazi kuzibwa mdomo kwa bahasha. Pia nilimuuliza kigogo mmoja wa NSSF akadai bado kuna discussion inaendelea na hivyo official implimentation bado haijaanza. Tuendelee kupaza sauti huenda wakaogopa
 
Back
Top Bottom