Mwakyembe chukua hatua haraka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwakyembe chukua hatua haraka.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Goheki, Jul 24, 2012.

 1. Goheki

  Goheki JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa taarifa hizi za ajali za meli za mara kwa mara,kuna haja ya waziri wa uchukuzi kufanya ukaguzi wa meli ya MV VICTORIA kwani taarifa zilizopo meli hii ni ya mwaka 1960 kwa sasa imekuwa haishi matengenezo na kuzimika mara kwa mara ziwani.
   
 2. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Unajihangaisha ndugu,
  Serikali yetu huwa inasubiri kutoa rambirambi.
  At least it the thing they are capable of excellent perfomance!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Naamini Mwakyembe ni mtu makini japo!
  Hatutakubali kabisa kupokea rambirambi toka kwa serikali isiyo makini, na inayopeleka attention yake kusaini mikataba mipya huku ikitelekeza miundombinu mingine, maana inaonyesha kutokuwa na tija tena kwao!
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Na soon watafungua kitengo Rasmi cha Rambirambi
   
Loading...