Wafuatao wasirudi bungeni 2016...hawa ni hatari na janga kwa Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafuatao wasirudi bungeni 2016...hawa ni hatari na janga kwa Taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mshikachuma, Jul 21, 2012.

 1. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hivi wabunge hawa wafuatao walichaguliwa na nani? walijichagua wenyewe au walichaguliwa na wananchi?

  MWIGURU
  ,LUSINDE,WASIRA, E.S MANYANYA na JOHN SHIBUDA....hakika hawa si wabunge wala si wawakilishi wa wananchi, Hawa ni watu hatari sana kwa mustakabali wa Taifa letu....yaani hawa watu ni zaidi ya mashabiki wa CCM waliokunywa maji ya bendera ya chama...yaani wako teyari nchi iingie kwenye machafuko ilimradi ccm itawale milele...hawa watu ni zaidi ya propaganda.

  Ombi langu nalielekeza kwa wananchi wa majimbo husika walikotokea wabunge hawa chonde chonde hakikisheni uchaguzi wa mwaka 2015 hawa watu hamuwachagui tena.

  Pia nawaombeni viongozi wa CDM hakikisheni munapata watu bora na makini ambao mtawasimamisha kupambana na hawa watu (SUMU) kwenye majimbo husika....vinginevyo nchi itaingia kwenye machafuko ya hatari sana.

  Nawasilisha kwa hoja pana.
   
 2. kebepa

  kebepa Senior Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 134
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ushauri umezingatiwa!
   
 3. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Sylvester Mabumba
  Anne Kilango
  Hawa Ghasia
   
 4. chubio

  chubio Senior Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naunga mkono hoja mkuu
   
 5. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Waziri mkuu mtarajiwa wa Loawasa(Peter Serukamba)
   
 6. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Bora ya hawa uliyowataja kuliko wendawazimu niliowaorodhesha pale juu.
   
 7. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,001
  Trophy Points: 280
  Hapo hujakosea umelenga mle mle.
   
 8. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Mkuu umemsahau fisadi A.chenge aka vijisenti mara kajiita mtemi wa ufisadi
   
 9. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Basil Mramba-Ufisadi
  Edward Lowassa-Ufisadi
  John Chenge-Ufisadi
  Anna Makinda-Ukihiyo na kuburuza bunge
  Mohamed Dewji-Ufisadi kununua ule uwanja wa Mkullo
  Mustafa Mkullo-Ufisadi
  Anna Abdallah-Ufisadi
  Mudhihir Mudhihir- Ufisadi
  Sofia Simba-Ufisadi
  Gosbert Blandess-Ufisadi
  Shukuru Kawambwa-Uzembe
  Jumanne Maghembe-Uzembe
  George Mkuchika-Ufisadi
  Adam Malima-Ufisadi na uhuni
  Mathias Chikawe-Uzembe
  John Komba-Ufisadi na Uzembe
  Mary Nagu-Kughushi
  Emanuel Nchimbi-Kughushi
  endelea.....
   
 10. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Mbuge wa jimbo la ukonga mlisema mnaandama hadi bungeni ,vipi aendelee asiendelee
   
 11. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  For me hawa uliyowataja hapa wala hawasumbui....mkuu hao niliowaorodhesha pale juu ni janga kwa Taifa
   
 12. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,385
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  mbowe- aende shule kwanza
  kasulumbai-//
  vicenti-//
  grace kiwelu-//
  susan kiwanga-//
   
 13. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Tena ongea taratibu kwani hujui hao watatu wa kwanza ndiyo wanaotegemewa kama vichwa?
   
 14. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wewe huna tofauti na niliowataja hapo juu...to hell with ur pumba
   
 15. k

  kdany Senior Member

  #15
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 150
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Rose kamili
   
 16. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,664
  Likes Received: 2,132
  Trophy Points: 280
  he! Yani we unaona mtu kama Makinda ni bora!? Wakat yeye ndo anaewapa hifadhi wabunge vichwa maji.
   
 17. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu, sikatai ni kweli Makinda nae ana matatizo....lakini hao wa4 hapo juu ni hatari na janga kubwa kwa Taifa letu
  yaani hao wako teyari kusema RED ni black na BLACK ni red
   
 18. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,664
  Likes Received: 2,132
  Trophy Points: 280
  LUKUVI-utumwa
  MWANJALI- elimu duni
  G. ZAMBI- kigeugeu
  WASIRA- Muchknow + utumwa
  endelea
   
 19. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,664
  Likes Received: 2,132
  Trophy Points: 280
  nina mashaka na wewe pia!
   
 20. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mnyika,tobo lissu,halima mdee aka kisauti,kichaa msigwa aende mirembe,
   
Loading...