Mtegemewa wa mafisadi katika Twitter! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtegemewa wa mafisadi katika Twitter!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alfred Daud Pigangoma, Jul 24, 2012.

 1. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Sasa ni dhahiri kuwa huyu kijana anakoelekea ni pabaya kwani mbali na kuwakosanisha vijana ndani ya CHADEMA na wengine kunukuliwa visivyo na magazeti sasa imenipelekea kufuatilia anuani yake ya twitter na yafuatayo ndo niliyoyakut; Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe"@Semkae: @Decenttz @zittokabwe @mamaisara kweli CCM italaumiwa kila kitu?" Kwa sababu wanafanya kila kitu, Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
  "@mamaisara: Mh. mbona wanakuandama sana huku Jamii forums kuwa unasaliti CDM kulikoni wakati vijana wengi tuko nyuma yako?" Sijui. Waulize

  MY TAKE:
  Kama kweli huyu Mtegemewa wa mafisadi kachukua nafasi hii ya kuamua kusaidia mafisadi kama walivyofanya wengine kwa NCCR-MAGEUZI, CUF, na kwingineko katika chaguzi mbalimbali nchini basi tumuepuke.
   
 2. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  wewe umezoea siasa za ngumi na mapanga zito yupo smart na anafanya siasa za kisasa sion tatizo
   
 3. b

  bdo JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,711
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  cjakupata vzr, hapa zito anategemewa vipi?funguka vzr
   
 4. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,361
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kazi ya kichwa sio kufugia nywelE tu !
   
Loading...