Rais wa Zanzibar 'Hataki Muungano' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wa Zanzibar 'Hataki Muungano'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ni Mimi Msiogope, Jul 24, 2012.

 1. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna taarifa za kuaminika kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hakuhudhuria vikao vitatu mfululizo vya Baraza la Mawaziri na hivyo kitendo cha kiti chake kutanda utando wa buibui kinaashiria kuwa hakubaliani na Baadhi ya mambo yanavyoendeshwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa ni haswa namna suala la Muungano linavyochukuliwa na Rais Kikwete.
   
 2. B

  Babu Original Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanini kwenye muungano hawasemi liwalo na liwe hii ni ndoa ya mabavu. Watanganyika tunang'ang'ania kuwabaka Wazanzibar
   
 3. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  aanzishe jamhuri yake ya Zanzibar. hakuka atakayehangaika nae/nao!
   
 4. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haha.. Mkuu huogopi BAN?
  Eti "Tunang'ang'ania Kuwabaka Wazanzibari"
  But it seems like that!..
   
 5. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli lakini me naona kama wanachelewa tu kujitangazia uhuru wao manake kwani kuna Wanajeshi wangapi wa Tanganyika kule? Au kuna askari wangapi wa FFU kule?..
  Atangaze tu ili Wazanzibari wawe Huru kulikoni kuendelea kutwangana bila faida.
   
 6. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanye HARAKA SANA KUUVUNJA MUUNGANO WAPEMBA WARUDI KWAO KARIAKO IWE HURU
   
 7. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Shein hataki Muungano, no sidhani, nafikiri yuko busy kuijenga Zanzibar, jamaa sio mswahili kama mk.wele wetu, labda pia yuko busy kuimarisha ndoa na CUF
   
 8. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bora mie sjasema.
   
 9. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hana mpango na Muungano.
  Hana hamu na mafisadi ya Tanganyika
   
 10. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Sio Raisi tu ,wengi sana hawautaki Muungano ,si umesikia mbinu za kuanza kuzirudisha kadi za CCM ? Nadhani umewahi kusikia kitu kinaitwa MASTERMIND ,sasa hiyo ya urudishaji wa kadi imo katika hiyo masterplan ya kuusika muhungano.
   
 11. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo Masterplan ni Unique
   
 12. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,159
  Likes Received: 1,892
  Trophy Points: 280
  Huu muungano usipovunjika kipindindi hiki cha utawala huu! Hautavunjika tena!!!
   
 13. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mambu talatibu ,wala ayataki pupa ,kama si leo kesho lakini tupo njiani twaelekea mwisho wa Muungano.
   
 14. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hapana anapenda Muungano; Wangemuomba arudishe Kadi ya CCM; kama walivyomuomba Karume arudishe kadi

  Yeye na Mmoja ya Waziri aliyesema anataka Muungano sio wa kikatiba; Kamati kuu ya CCM Zanzibar ndio imeomba hizo

  Kadi za CCM back
   
 15. b

  bdo JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,712
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  Anaogopa wana Uamsho watampindua
   
 16. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Dr. Shein bado yuko kwenye FUNGATE. Inaelekea Bibi harusi hampi nafasi ya kupumua. Muacheni Shein wa watu afaidi ndoa yake kwani bado changa, Mahaba sasa hivi ni motomoto!
   
 17. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
 18. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kumbe ndio mana wanatamani mchomoe wapate kutoa upepo
   
Loading...