Tusidanganyike, zitto kabwe hana nia na uraisi..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusidanganyike, zitto kabwe hana nia na uraisi..!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tanzaniaist, Jul 24, 2012.

 1. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama mlifikiri mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ana nia na uraisi...,basi hilo ni changa la macho hasa kwa wananchi wa mkoa wa kigoma mnaodanganywa na kuingizwa mjini na mh.Zitto kwamba eti mtatoa Raisi..,Msidanganyike wananchi wa Kigoma..Zitto Kabwe hana nia na Uraisi ila anatekeleza mipango ya CCM kumaliza na kusarambatisha Upinzani nchini...!

  Zitto Kabwe amekuwa MSALITI,JEURI na mwenye TAMAA kwa kuamua kukisaliti chama chake kama jinsi Yuda Iskarioti alivyomsaliti Yesu kristo,

  Baada ya mipango yake na Kafulila kumngo'a Mbatia kukwama ndani ya NCCR..,sasa ameamua kutekeleza zama yake ya URAISI ili kuleta mgawanyiko ndani ya CHADEMA na kati ya wabunge hasa tunayoona sasa hv NASSARI anavyoweweseka....huku pia akitumia vyombo vya habari kama jinsi mafisadi wanavyotumia kujisafisha...!

  Napenda kuwasilisha..!
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Unawasilisha umbea tupu haya kalale basi
   
 3. makusanya

  makusanya JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Kwa chadema tu?haya yamefika mwisho upotezaji wa mda tu
   
 4. k

  kijiwehikihiki Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Zitto hafai kuwa rais kupitia cdm kwa kuwa ............ Naona kama kuna dalili za ukweli.
   
 5. f

  fergusonema Senior Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  napenda kudedicate wimbo wa chuki binafsi by Twanga Pepeta ukufikie huko uliko
   
 6. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Du ndio swaumu imeanza kupanda asubuhi yote hii?
   
 7. O

  Okinawa Senior Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 174
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Zitto anatumiwa sana na ccm kuisambaratisha CDM.
  Nadhani8 mnakumbuka wakati wa uchaguzi mkuu 2010 alivyokuwa anashirikiana na akina Zoka kuchakachua kura za Urais wa CDM.

  Huyu mara nyingi sana anatumiwa na ccm. Tunaomba viongozi wakuu wa CDM kuwa makini sana na Zitto.

  Ndiyo maana wakati ule wabunge wenzio walimpiga chini kwa sababu ya kujipendekeza sana kwa ccm na hasa kwa jk.
   
 8. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  WAKATI ULE UPI????? Be specific and clarity
   
 9. O

  Okinawa Senior Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 174
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wabunge wote alikubaliana kutoka nje ya Bunge wakati jk atakapoanza kuhutubia.

  Lakini Zitto hakukubaliana nao akaanza kwenda kwenye vyombo vya habari na kuanza kujikosha kwa jk wakati ule ulikuwa uwamuzi wa pamoja. Hii ilisababisha wabunge wezio wamtoe kwenye nafasi ya Kaimu Mkuu wa Kambi rasmi ya Upinzani bungeni.

  Baadaye Viongozi wakuu wa CDM ndio walikuja kumrudisha.

  Zitoo ni mwanasiasa mzuri LAKINI AACHE KUTUMIWA NA CCM NA jk
   
Loading...