CCM mna mkakati gani dhidi ya Lema? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM mna mkakati gani dhidi ya Lema?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Concrete, Jul 23, 2012.

 1. C

  Concrete JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Toka asimamishwe ubunge wa Arusha mjini, Godbless Lema amekuwa akifanya harakati kubwa sana za kisiasa dhidi ya CCM, akipita kijiji kwa kijiji akitumia uwezo wake wa kuzungumza kwa ujasiri na hoja zinazogusa wananchi wa ngazi ya chini kabisa,

  Sio siri tena athari kadhaa kubwa zimeanza kuonekana waziwazi kwenye kila eneo alilopita, kwa mfano:
  1/Makada wengi kutoka CCM wamejiunga na Chadema.
  2/Chadema imeanza kuota mizizi vijijini.
  3/Chuki dhidi ya Serikali imeongezeka.
  4/Woga wa kifikra miongoni mwa wananchi umeanza kutoweka.
  5/Chadema imepata wanachama wengi sana maeneo mapya.

  *Swali langu kuu kwa viongozi na makada wa CCM, mmejipangaje kukabiliana na hii hali, maana msipochukua hatua sasa mwisho wa siku ni kilio.
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,077
  Likes Received: 10,436
  Trophy Points: 280
  Sikio la kufa halisikii dawa.
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  wanajilaumu sana juu ya maamuzi yao maana wameshagundua kama ukifanyika uchaguzi leo waaibika vibaya na tayari kesha wajeruhi vibaya sana.

  watamrudishia ubunge wake muda si mrefu.
   
 4. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  ccm hawana jipya tena ni mbwa kachoka!!!
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Bora wangemwachia awe mbunge angekua busy bungeni kuliko saivi yuko mtaani ndo anawacharanga vizuri
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Unataka wampeleke mabwepande au?
   
 7. N

  NG'ONGOVE Senior Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Hapo kwenye kijani, Usishangae mbona huo ni mwanzo tu! mlidhani mtamnyamazisha, kumbe mmempiga teke chura...mmemrahisishia safari.
  Ila hapo kwenye red tafadhali msije mkamlimboka.....mjue hata nyinyi ikulu hakutakalika. "ukimbana sana paka..........."


   
 8. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Yaan CCM iwe na mkakati na Lema? CCM inashughulika na masuala hayo ya kushughulika na watu ni kazi ya CDM na vyama vingine vya kukusanya ruzuku.
   
 9. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,301
  Likes Received: 953
  Trophy Points: 280
  kesi ipo mahakamani, siyo vizuri kuzungumzia jambo hili.
   
 10. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Leo alikuwa simanjiro na chopa ya cdm
   
 11. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hata mimi sijamuelewa huyu gamba aliyepost hii kitu anamaanisha nini!
   
 12. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,555
  Likes Received: 4,683
  Trophy Points: 280
  Mbona mkakati upo kumuulia mbali, ila kwa sasa wameusitisha baada ya mpango mzima kuvuja kwa sasa wanaumiza vichwa kuja plan B ,C na D.
   
 13. makusanya

  makusanya JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45

  Wape pole sana maana washachelewa now
   
 14. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Wanatamani wasinge ingilia uhuru wa mahakama.
   
 15. m

  mwanza_kwetu JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 684
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kesi iko mahakamani hahahahahahaha
   
 16. miss strong

  miss strong JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 7,027
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Lema atarudi bungeni muda c mrefu na wizara yke ileile ya mambo ya ndan
   
 17. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mtoa mada naomba wewe uwashauri unachotaka CCM kifanye. Inawezekana una suluhisho la kuwasaidia wana CCM.
   
 18. P

  Penguine JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Ndg yangu NAKUBALIANA NAWE, huyu jamaa ni Mwiba huko walikompeleka. Anawamaliza kuliko wangembakiza Bungeni. Yawezekana ni wakati wa mauti kwa chama Tawala maana hawaambiliki. Maamuzi yao ni ya kidharura bila upembuzi wa matokeo ya maamuzi yenyewe kwa baadae.

   
 19. a

  agapetc Member

  #19
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli ccm wangepata nafuu ila imekula kwao
   
 20. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Watamrudisha bungeni ndo plan na kesi imeshapangiwa judge
   
Loading...