Sensa ni kaburi la kuizika CCM. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sensa ni kaburi la kuizika CCM.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bornvilla, Jul 24, 2012.

 1. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kuendelea kwa serikali ya CCM kuwatisha waislam kuwa watachukuliwa hatua kali endapo hawatashiriki sensa,rejea kauli ya mwanasheria wa sensa na JK.

  Pia kwa tabia wanayoionesha kutokuwaheshimu mashekhe na misikiti! Muda sio mrefu itawa cost. Kwa dhana yao ya kuitumia BAKWATA kuendesha mauozo yao basi waislam sasa wanajua na hawakotayari kutumika.Na kwakuwa CCM na serikali yake imeendeleza dhulma mbalimbali dhidi ya waislam na sasa sehemu kubwa ya waislam wanajitambua!

  Hivyo ccm 2015 iandae tu makoleo ya kutupia udongo kwenye kaburi lake.Tunangoja Agost wakati wa sensa kitakachotokea na hapo ndio mwanzo na mwisho wa ccm,kwani kwasasa waislam hawatazami sensa bali 2015.Waislam wa mwaka 1982 si hawa wa 2012, kwani hawa wanajua walikotoka na wanajua wanakokwenda.

  CCM endeleeni kuitumia BAKWATA kwa kuwamwagia mipesa kwasababu mnajua wananjaa lakini mjue waislam wanajua A-Z hivyo lolote la BAKWATA ni la BAKWATA na sio la waislam. Waislam wanaivizia CCM yenu kwenye kona ili ibandikwe kande la pua. Konde hilo la pua bila shaka liCCM litaanguka chali.
   
 2. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  CCM itaondolewa na Watanzania kwa kuwa imeshindwa kuongoza.

  Siamini waislamu wote wana maoni kama yako maana kuna waislamu wanaonufaika na uozo huu wa CCM hivyo hawawezi kuwa na mtazamo wako.

  Siku utaanza kuiona dunia bila kutanguliza dini utakuja kuona kuwa adui wa maendeleo, haki, utengamano na amani ya kweli nchini kwetu ni CCM hii ya kikwete na genge lake.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ni sawa, lakini kuna chembechembe za UCHOCHEZI wa kidini hapa!
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Kuna kitu sijakielewa hapa,
  ni waislamu ndio wanataka kuhesabiwa kwa uislamu waooooo, au viongozi wa waislamu ndio wanataka waislamu wahesabiwe kwa uislamu wao?
  Ikiwa ni matakwa ya viongozi wa waislamu wakiwa na nia ya kujua idadi ya waislamu ili kupeleka takwimu sahihi inapokuja swala la "msaada wa tende na halua kutoka saudia" basi waislamu wanatakiwa watilie mkazo saaaana maelekezo ya mtume anapowaelekeza kuhusu ilmu dunia, kwani hapa ndio una swikh pasi na shaka.
  Wabilah tawfiq
   
 5. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Bornvilla = Sheikh Ponda.
   
 6. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Basically mawazo haya ni ya kijinga yasiyo na mshiko kuyajadili.
   
 7. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Duh BAKWATA noma huwa namuona sheikh aw mkoa wa dar es salaam alivyo karibu na viongozi wa kisiasa, ukaribu wao una mambo
   
 8. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,394
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Uzuri wetu waislamu bana, kila mtu ni msemaji wa waislamu wote!
   
 9. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Chezea CCM aka Magamba wewee!
   
 10. D

  Dopas JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kufahamu kuna watanzania wangapi kwa idadi, kigezo cha dini sio cha lazima kwani hakina uhusiano; ingawa kigezo cha dini kingeweza pia kufahamisha idadi ya waabuduo, na dini gani. Ingekuwa jambo jema pia kama kipengele cha dini kikiwemo, lakini sio kipengele cha lazima, hivyo hata bila, sensa inakuwa bado halali kufahamu idadi ya watu. Kwa hiyo waaslamu pamoja na wanaowachochea kukataa kuhesabiwa kama kipengele cha dini hakipo, hamfanyi sawa.
   
 11. k

  kipili.pili Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 12. C

  Cops Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwisho chumbeeeeee..................
   
 13. m

  manucho JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Waislam mnataka nini? Yaani mkishahesabiwa mkaambiwa mfano mko 7.295% ya idadi yote watanzania ambayo ni 10%. Mkishajua hilo ni nini tena mtataka au ndiyo itakuwa mwisho wa madai yenu?

  Pili, mnashindwa vp kujihesabu wenyewe mpate idadi yenu yote ili muendelee na mipango yenu?
   
 14. f

  fergusonema Senior Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu na akulaani kwa uchochezi mbaya na mchafu unaoufanya,ushindwe na ulegee ishu ya dini haina mashiko na haipaswi kushadadiwa kama hoja muhim kwneye sensa wala mtaji wa kisiasa unles kwa mtu mwenye upeo mdogo kama wewe
   
 15. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kipengele cha dini kikiwekwa kwenye dodoso la sensa kifuatacho kinaweza kikaleta mgogoro hapo baadae: Wakatoliki wanawaza kudai kwamba wao ni wengi kuliko waanglikana, walutheri, nk kwa hiyo wataomba mchanganuo uwekwe kwenye dodoso. Ili kuepuka hayo ni vema kipengele hicho cha udini kikaepukwa.
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Labda niwape kisa hiki cha kweli, kitawasaidia ndugu zangu Waislamu.

  Juzi Kanisa katoliki Jimbo la Arusha lilipata dili ya kununua Shule ya Arusha Modern(Ni shule kubwa ya kuanzia Primary hadi A-Level inayokwenda kwa mfumo wa ENGLISH medium) kutoka kwa mmiliki ambaye ni Mwislamu (Wakatoliki wa Arusha wote mnalijua jambo hili kwa usahihi)!

  Jamaa akawa anataka Bilioni 4 kama bei, ambapo ni majengo yaliyoko katika space ya eka 9, na eneo la eka 15 open space ambayo haijajengwa, jumla ya eneo ni eka 25.

  Walichofanya Mapadre na Askofu Lebulu ni kuitisha sensa ya Wakatoliki wa jimbo la Arusha. Taarifa zikashuka hadi kwenye Jumuia ndogondogo ambapo ndiko ilikoanzia sensa.

  Kila paroko akapata idadi ya watu walio katika Parokia yake kutokea kwenye jumuia, na parokia zikawasilisha kwa Askofu, akajumlisha na kujua kwa usahihi kabisa Idadi ya Wakatoliki Jimboni, zoezi lililochukua siku 3 tu.

  Baada ya hapo wakagawa hiyo 4bn kwa idadi ya wakatoliki. na kutuletea hesabu kuwa kila mtu achange kiasi gani...kimsingi kila mtu mzima mkatoliki wa Arusha aanachanga elfu 10 kwa mwaka, na mtoto anachanga elfu 5 tu, na ndani ya miaka 2 tutakuwa tumemeliza deni tayari!....ha ha haaa, rahisi mno!

  Waislamu mnataka nini zaidi kama si kusababisha machafuko na kuipima nguvu serikali?
  OK, Mnataka kujuaidadi yenu, KUNA JAMBO LA MAENDELEO MNATAKA KUFANYA, kama mfano wa hapo juu niliowaletea?
   
 17. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Kipengele cha dini kinasaidia nini katika sensa?

  Ikijulikana kwamba 60% ya Watanzania ni waislamu hoja yenu ni nini?

  Pia endapo 60% ya watanzania ni wakristo hoja yenu ni nini?

  Kuna agenda ya siri ya kudai nchi iwe ya kiislamu endapo more than 50% ni waislamu?


  Kuna nini nyuma ya agenda ya kipengele cha dini katika sensa???
   
 18. s

  sawabho JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Kwa maelezo yako, naweza sema adui ya Waislam sio CCM, bali ni mawazo yako ya kugawa watu kwa "UDINI"
   
 19. m

  muchetz JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Ushauri tu.
  Kwasababu ni muhimu sana kwa waislamu kujua idadi ya wale ambao sio waislam(maana kama ni wao kujua idadi yao nadhani hawahitaji sensa) basi wasubiri sensa iishe(na wahesabiwe), Halafu wajihesabu wao.

  Then kupata juma ya wasio waislam itakuwa rahisi. Unachukua jumla kuu (ya sensa) una toa idadi ya waislam unapata idadi ya wasio waislam.

  Simple mathematics!!!
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Si sahihi, na hawatapata wanachokitaka!
  Kuna dini kama WAHINDU, Atheists, Buddha etc, hawa watawapataje?
   
Loading...