Lowassa mpenzi wa Zanzibar; Pinda Adui? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa mpenzi wa Zanzibar; Pinda Adui?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Democracy999, Jul 24, 2012.

 1. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sabah al kher wandugu! Swali kwa Thinkers ni Kwanini enzi zile Premier Lowassa ilikuja Zanzibar kila wiki hivi iwe kwa weekend kupumzika au kukagua na kusisitiza katika Development; kwa huyu Mkongomani wa Kondeni hakanyagi? (Simchukii)
   
Loading...