Watu 40 wa Uamsho wapelekwa Korti leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu 40 wa Uamsho wapelekwa Korti leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Jul 24, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mahoijiano ya Redio ya Ugerumani na Kamanda wa Jeshi la Polisi

  BONYEZA REDIO
  AUDIO | DW.DE

  [​IMG]

  [​IMG]
  Waumini wa Kiislamu mjini Zanzibar walikuwa wanaendesha dua ya kuwaombea waliopoteza maisha katika ajali ya meli ya MV. Skagit iliyotokea wiki iliyopita, lakini polisi inasema walikuwa waumini hao walikusanyika kinyume na sheria na hivyo kusababisha vurugu katika mitaa ya Unguja mjini. Amina Abubakar amezungumza na Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Mjini Magharibi, Aziz Juma Mohammed. Kusikiliza mazungumzo hayo, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
  Mwandishi: Amina Abubakar
  Mhariri: Othman Miraji
   
 2. Bwana Mapesa

  Bwana Mapesa JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,914
  Likes Received: 658
  Trophy Points: 280
  haya ndo mambo serikali ya jk....(na magamba kwa ujumla) wanayoyaweza
   
 3. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hakika hakuna dhulma yenye kudumu. Kila kitu kina mwisho.

  Nafikiri jeshi la polisi linataka kujikosha na kuwababambikizia kosa ambalo mwisho wake huko mahakamani ni kushindwa kuthibitisha madai yao na wananchi kuachiwa.

  RPC nafikiri angejiuliza. Hivi yupo wapi George Kizuguto (aliyekuwa RPC mjini magh'ribi enzi hizo)?
   
Loading...