Tawi Jipya La CCM DC Washington: Hongera Sana CCM's Diaspora!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tawi Jipya La CCM DC Washington: Hongera Sana CCM's Diaspora!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by W. J. Malecela, Jul 23, 2012.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,609
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  [​IMG] [​IMG]
  Mwenyekiti wa CCM Loveness Mamuya akimkabithi kadi ya CCM, Mwenyekiti wa DIKOTA Metropolitan bwana Faraja Isingo, wa kiiwa na katibu mwenezi Benjamin mwaipaja ​

  [​IMG]
  Wakifurahia kadi zao na kupeperusha bendera ​

  [​IMG]
  Hawa ndio wana tawi la CCM DVM ​
   
 2. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,108
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Napenda Demokrasia lakini sisi watu wengi tulio hapa USA hatupendi siasa bali maaendeleo kwa ujumla. Badala ya kuwa na matawi ya vyama vya siasa ambayo hatujui tofauti yake zaidi ya rangi za nguo ni bora tuwe na THINK TANK ambayo inatoa policy mbalimbali za Afya, Elimu, Uchumi, Uwekezaji, Sayansi na Technologia.

  Sasa chama cha Siasa kiwe cha Chadema au CCM hapa USA wakati hata kura hatupigi kitatusaidia nini. Je ni nini mnaweza kuongea au kutoa Policy kwa Bill Gates ambaye anasaidia Afya Tanzania?

  Mko DC na World Bank iko DC je ni Policy gani mmeweka na kuwaita watu wa World Bank ambayo ni ya maendeleo kwa Watanzania wa Diaspora na Tanzania.

  Je mmefanya mbinu gani kusaida Afya hata vitu vya msaada kwa Tanzania na Ma Doctor. Tanzania tunatakiwa kufungua vitu kama DICOTA na THINK TANK badala ya haya matawi ambayo ni ya kishabiki zaidi ya hayana sera yeyote. Zaidi ya Picha ni watu wachache sana wanapenda siasa hapa USA.

  Hata balozi anaweza kuwaeleza vizuri kwamba hapa siyo UK na ndiyo maana humuoni kwenye hayo makutano. Tubadilikini ndugu zangu nchi yetu inatuhitaji na sisi tuache ubinafsi.
   
 3. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,609
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  - Yaani kwa kweli Kidumu CCM, pongezi sana Makada wetu huko DC kwa hatua kubwa na nzito inayohitaji maamuzi magumu sana, wana CCM huku nuymbani tumefarijika kwamba baada ya sarakasi za huku na kule, sasa tumeweza kuwa na Tawi jipya linalokidhi kanuni za Chama, CCM.

  - CCM ni chama cha hoja, sio magomvi, matusi, migomo, ngumi, wala uuaji, hapana sisi ni chama cha amani na maendeleo na hoja nzito, sasa fanyeni kazi ya kuimarisha chama huko ili muwese kuhamasihsa majimbo mengine yafungue matawi ya CCM, na pia kuwashawishi wananchi wa huko kujiunga na chama chetu, yaani Chama Tawala CCM.

  - Mheshimiwa MWenyekiti Mamuya, I have a trust in you kwamba mtajiepusha na majungu yanayotuletea matatizo makubwa matawi yetu huko nje, simamieni kwenye katiba, ukiona pahali popote kwenye chama CCM kuna mgogoro, ujue katiba imekiukwa, simamieni katiba badala ya perosnalities, ondokaneni na dhan ya kwamba kuongoza chama nje ni tiketi ya kuja kuwa mbunge Tanzania, au kuyatumia hayo matawi kuja kutafuta uwakilishi wa Diaspora katika bunge letu, fanyeni kazi za chama kwanza kwa uadilifu.


  KIDUMU CCM!!

  William John Samwel Malecela: MJUMBE WA WAZAZI MKOA WA DAR & MJUMBE WA CCM WILAYA YA ILALA.
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,383
  Trophy Points: 280
  Wanafungua tawi la chama kilichokwisha jifia?
   
 5. Collins

  Collins Senior Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbe we pia unaweza kushauri,lol
   
 6. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,609
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  - Kamundu, kwa mtu kama wewe unayeishi USA na unajua sana katiba ya nchi hiyo kuhusu uhuru wa wananchi kuamua wanayotaka kuyafanya bila kuingiliwa na Serikali wala mtu yoyote yule, inashangaza sana kuwa na mawazo ya kibinafsi kama haya. Unaongelea habari nyingi ambazo zipo chini ya himaya ya Ubalozi, mambo ya vyma vya siasa hayakuhusu then wachana nayo waachie wanayoyaweza, na besides humuwakilishi anybody zaidi yako wmenyewe which is even better so stay away na haya matawi, lakini usijipe cheo cha kuwaongelea ambao hawajakutuma.

  - Unasema huko sio UK, una maana UK wana katiba ya kuruhusu matawi ya vyama lakini US hawana is that right? Kuna wakati huko nyuma uliwahi kuandika post moja kama kawaida yako ukajaribu kuwaongelea wananchi wote wabongo walioko huko, nikakwakmbia hapana jiongelee mwenyewe tu, naona bado lile somo halikuleweka, I mean unaishi US na mpaka leo hujui maana ya Bill of rights na Freedom of Speech, then ambao hawajafika huko itakuwaje ndugu yangu?

  - Tunakata majungu huko nje maana kuna majungu sana, na wewe unarudia yale yale, pleaase punguzeni majungu huko nje!

  William.
   
 7. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  SIDHANI KAMA TUTAMUAMINI MTOTO WA JOHN MALECELA NA GENGE LAKE LA AKINA RIDHIWANI KIKWETE, SURA ZENU ZA KUNAWILI ZINATUVUTIA, LAKINI SI KOSA LENU BALI NI USHARP WA WAZAZI WENU DHIDI YA RASILIMALI ZETU.
  JAMANI SIE TUMESOMEA SANT KANUMBA LEO TUMEJITAMBUA MSITUONGOPEE ATI NDO MMETUKUMBUKA.
  NYIE NI WATOTO WA WALEWALE WALOIFIKISHA NCHI HAPA ILIPO KATIKA HALI YA UFUKARA WA KUTISHA, SIDHANI NA KATU SIDHANI KAMA TUTAWAAAMINi.
  WENZETU MMESOMEA ULAYA LEO ATI MNATUONYESHA MNAVONG'AA... TE TE TE HATUDANGANYIKI KWA LOLOTE
  CCM RIP 2015,
   
 8. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  - Kumbe ujumbe umefika, saafi sana!1

  Es!!
   
 9. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  Naomba kujua kama hawa watu wanaishi huko au wameenda tu kufungua tawi,nimeuliza kutokana na jinsi walivyopauka kama wanaishi tanzania
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Njia walizozitumia kwenda huko ndizo wanazozitetea, huko nchini matawi yanafungwa, wenyewe wanafungua? Ili iweje? "Ukiona msomi anatetea uozo basi ujue kuna kitu anafaidi kutokana na huo uozo!!!!" Huu msemo siwezi sahau umuhimu wake!!!
   
 11. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Na cha ajabu, hili "tawi jipya" linafuata muendelezo wa sarakasi za udanganyifu zinazochezwa Bongo kuonyesha kuwa CCM bado ni chama maarufu. Hawa jamaa, wamechukua orodha ya majina 500, likiwemo na jina langu, ambao tulijiandikisha kupiga kura kuchagua uongozi wa DMV na kumpelekea Kikwete eti ndio wanachama wa CCM DMV.

  Huo ni uongo. Sasa nasikia wamepanga kuzindua tawi lao tarehe 25 August ambayo ni siku ya picnic ya jumuiya nzima ya DMV. Watapiga picha za watakaohudhuria picnic, nikiwemo mimi, na kudanganya mablog kuwa hawa ndio wanachama wa CCM katika DMV.

  Kumbe huu udanganyifu wa CCM umeshaota mizizi hata kwenye kizazi hiki ambacho tungetegemea kutoa uongozi mpya?
   
 12. c

  chama JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kama sikosei Chadema nao walifungua tawi lao Washington DC mbona maneno ya kejeli hamkuwa nayo? Au kwa wana Chadema siasa ni pale mtu unapoishabikia Chadema?

  Chama
  Gongo la mboto DSM
   
 13. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Chama,
  Utakuwepo kwenye picnic ya Aug. 25? Tutafutane basi.
   
 14. c

  chama JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Jasusi,
  Acha woga wa kisiasa; CCM bado ni maarufu na itaendelea kuwa maarufu; inakuwaje Chadema mnakuwa waoga kiasi; juzi mlifungua tawi na mlifanya uchaguzi wengi tu tulipongeza jitihada zenu; leo nao CCM wamefungua tawi ni haki yao kimsingi kama huwezi kuwapongeza nyamazeni kimya, inatisha kuona Chadema ni chama cha upinzani lakini kinaogopa upinzani. Tatizo tu ya haya matawi Chadema na CCM kumejaa wasanii wengi; tunataka wanasiasa wa kweli sio kusubiri kupiga picha na viongozi!

  Chama
  Gongo la mboto DSM
   
 15. c

  chama JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mungu akipenda kama nitakuwa nipo mjini nitakuwapo

  Chama
  Gongo la mboto DSM
   
 16. a

  andrews JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  william ,ndugu zko ni kuna lusinde wale wa ze utamu na yule kibajaji?naona mna mdudu kwenye familia zenu anawasumbua vichwa you are not normal guys
   
 17. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  So what u want to tell us here? Nonsense
   
 18. Collins

  Collins Senior Member

  #18
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ushauri wako unawafaa wacheza disco kama wewe
   
 19. a

  andrews JF-Expert Member

  #19
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​tumefika hapa tulipo sababu ya akili ndogo kuongoza akili kubwa
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,253
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  watoto wa mafisadi
   
Loading...