Chadema yavuna 256 kilombero | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema yavuna 256 kilombero

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lua, Jul 25, 2012.

 1. L

  Lua JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya kilombero, mkoani morogoro, kimevuna wanachama wapya 256 waliohamia chama hicho kutoka vyama vingine vya siasa.

  wanachama hao wametoka CCM ni 214, CUF ni 28 na kutoka TLP ni 14, Wanachama hao walipokelewa na mwenyekiti wa vijana Taifa John Heche aliyekua katika ziara ya siku mbili katika jimbo la kilombero.
   

  Attached Files:

 2. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Watu wenyewe wako wapi? Mbona mnatuonesha mtu mmoja tu? Picha ya kuambatana na hii habari ilitakiwa kuwa na watu wengi!!
   
 3. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kazi kweli kweli, sijui magamba yataponea wapi?
   
Loading...