siku ya mashujaa mbona simuoni Maalim Seif? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

siku ya mashujaa mbona simuoni Maalim Seif?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHIEF MVUNGI, Jul 25, 2012.

 1. C

  CHIEF MVUNGI Senior Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo naona viongozi wengi wapo front line mnazi mmoja lakini simuoni makamu wa kwanza wa rais kutoka serikali ya mseto Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad au yeye hausiki kwenye mambo haya ya magamba?
   
 2. M

  Mzenji73 JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  " kwa siku hizi za karibuni sio kwenye siku ya mashujaa tu, bali hajaonekana sehemu nyingi kwenye matukio ya maana kuliko hilo la mashujaa (sijui mashujaa gani). Ni kwamba hayupo kabisa hapa Nchini Zanzibar"

   
 3. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,909
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Amekwisha situkiwa uamsho huyo
   
 4. Kesho Uanzia Leo

  Kesho Uanzia Leo Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yupo biz na jamaa zake wa uhamsho...
   
Loading...