Hoja:je na nchi nyingine za Afrika huwakumbuka na kuwaenzi viongozi na mashujaa wetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja:je na nchi nyingine za Afrika huwakumbuka na kuwaenzi viongozi na mashujaa wetu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nakapanya, Jul 25, 2012.

 1. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  Sijawahi kutembelea nchi yoyote zaidi ya nchi yangu Tanzania.Tanzania tumekuwa na utaratibu wa kuwaenzi viongozi mahiri na mashujaa mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania.Kwa mfano tumekuwa tukiwaenzi watu hao kwa kuzipa majina barabara na mitaa mbalimbali hapa nchini;ifuatayo ni mifano michache:-
  1.Sam Nujoma Road
  2.Mandela Road
  3.Azikiwe street
  na mifano mingine mingi japo kutaja hiyo michache.
  HOJA YANGU.
  Je na nchi nyingine nazo huwaenzi viongozi wetu mahirina mashujaa wetu kama sisi tunavyofanya kama hivyo kuzipa barabara na mitaa yetu majina ya viongozi wao?.
   
Loading...