Sheria mpya ya mafao inawahusu pia kwa wabunge vijana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria mpya ya mafao inawahusu pia kwa wabunge vijana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by REMSA, Jul 27, 2012.

 1. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wabunge vijana wote watakapomaliza miaka mitano,ambao watakuwa hawajafikisha
  miaka 55 ni vema na wao wasilipwe mafao yao mpaka watimize umri huo.Maana kama
  hata wale vibarua wanaofanya kazi kwa mkataba,wakimaliza mkataba wao hawawezi
  kuchukua visenti vyao mpaka wafikishe umri huo,nafikiri hii sheria pia inawahusu wabunge.
  Nawasilisha.......
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Unashauri?
  Unauliza?
  Unawasilisha?
   
 3. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,363
  Likes Received: 2,990
  Trophy Points: 280
  Hoja hii imeungwa mkono mkuu.
   
 4. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Sheria mpya haiwahusu
   
 5. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,224
  Likes Received: 1,071
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa aisee!Kama vipi bora wote tu tubanwe kuliko wao waendelee kupeta!
   
 6. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwa sababu umeona itakugusa umelipuka enh!! wakati mnaitikia ndioooooo......hamkuwaza
  kabisa juu ya watanzania tuliowatuma huko tutaumizwaje na hii.Shame on u all"
   
Loading...