Nape, ukiyaona haya unaweza kuanza kuwa kiongozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape, ukiyaona haya unaweza kuanza kuwa kiongozi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by andrews, Jul 27, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  1. waziri wa zanzibar kasema unafikiri chama ni chako.
  2. Msekwa kasema unavuta pesa kutoka kwa kikwete.
  3. Mukama kasema ziara zako ni za kibinafsi za kujenga chama.
  4. Butiku,kaduma,mzee makamba wamesema chama hakina msemaji wala mtendaniunataka kufanya vyote.
  5. Ulisema hata watu wote wakiondoka ccm bado itakuwa na nguvu peke yako kweli?labda mtu aliyelazwa milembe anaweza fikiri hivyo.
  6. Ulisema chadema ni chama cha kigaidi wakati unajua kimesajiliwa kihalali.
  7. Slaa, mbowe,marando hawakuwezi kisiasa ni kweli elimu yako ni ndogo kuliko yao uwezo wako kiuongozi unatumia falsafa za akili ndogo kuongoza akili kubwa(ccm)
  8. Viongozi wote wa chadema wamechaguliwa na wanchama na wananchi wewe umeteuliwa na kikwete hata wana ccm wanajua huna uwezo wa kuwaongoza.


  jipange vizuri huwezi kuwa na maadui ndani ya chama chenu na nje something mwrong somewhere.

   
 2. a

  andrews JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  siku zote siasa ni kujifunza na kuona umekosea wapi na unatumia mwanya huo kurekebisha kama katibu mwenezi ungetumia ujana wako na kusema sasa matusi basi ndani ya ccm tujirekebishe tuwafikie wanchama na wananchi kwa ujumla achana na sifa za kuvishwa vilemba na kucheza ngoma na weka mikakati utawarudisha vipi vijana ccm bila kuwanunua kwa bodaboda ili uonekane umekiimarisha chama unajidanganya mwenyewe suku ya siku chaguzi ndogo za ubunge zitakuumbua.

   
 3. b

  beyanga Senior Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama kweli ni mtu makini huu si wakati wa kukodi wahuni wavuruge mikutano ya wapinzani wenu maana haohao wakitoka ccm watawafanyia hivyohivyo na nyie maana ni mungu tu binadamu anayemuogopa maana siasa ni upepo kuna waliokuwa ccm wakahamia nccr mageuzi wakaenda cuf na leo wako chadema adui wao mkuu ni ccm hivyo ni busara kuepusha fujo kama mlizofanya singida maana yatajulikana tu majaji ni watu makini wasiofuata upuuzi wa vyama
   
 4. b

  bashemere Senior Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ​kama kweli ni msikivu kawasikia atachukua mazuri na mabaya awachieni wenyewe, mawazo mazuri.
   
 5. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,217
  Likes Received: 10,583
  Trophy Points: 280
  Ushauri mzuri sana ila kwa jinsi ninavyo muelewa huyu jamaa sijui....!!!
   
 6. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Natumai ungefanya la maana sana kama ungemshauri muuza sura Mnyika na upendaji wake sifa na pia ungemkemea Mch Msigwa na kale kakauli chake cha leo Bungeni maana kamezua tafrani kubwa sana

  NAPE ni zaidi ya kamati kuu nzima ya Chadema si unaona anavyokusababisha povu likutoke kama umebugia OMO
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu uji na tambi za sukari matokeo yake ni kubwabwaja bila ya mpango
   
 8. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  nape naye ana akili ya kuyaona hayo? huyo ni bongo lala
   
 9. P

  Pambe S Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umelipwa shilingi ngapi leo pale tawi la chama cha Mabwepande namaanisha ccm Lumumba? Siku hizi wanawalipa vizuri nini maana juzi hapa mlikuwa na kamgomo baridi mkidai hamlipwi kwa post zenu za kutetea mafisadi humu JF.

  Au kwa kuwa Nape anavuta direct kutoka kwa mwenyekiti na ninyi waajiriwa wa tawi la Lumumba mnafaidika kwa kuwa karibu na ofisi ya Nape, kwamba kama posho imedoda pale tawini nyie kiguu kwa Nape kuvuta masalia yanayotoka kwa mzee pale magogoni ili muendelee na utetezi wenu wa mafisadi na wezi wa rasimali za taifa,wazinzi hasa wakati wa chaguzi ndogo, watekaji wa wananchi na mambo mengine yasiyopendeza katika jamii. Ila mna roho ngumu sijapata kuona!
   
 10. makusanya

  makusanya JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Nape afahamu anamtumikia nani ccm,mwenyekiti au wanachama ama nec au kikundi kidogo ndani ya chama ndiyo maana anaropokaropoka lolote linalomjia mdomoni tu bila hata ya kufikiria kwanza ila kubwa kabisa Nape kapata ile nafasi siyo kwa uwezo wake kisiasa ni mbeleko tu ya mwenyekiti ndiyo imemuweka pale so anafanya/anasema kile anachohisi m/kiti atakipenda na si chama na wanachama
   
 11. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Haya ni mazito sana kwa nape kuanza kufikiria kuwa kiongozi. Halafu kumbe bado hajawa?
   
 12. r

  ray jay JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Umetumwa na mnyika au?mwambie awapelekee wananchi wa ubungo maji kwanza ndio mzungumze habari za nape...unazungumza habari ya nape kuwa na maadui ndani ya chama vipi kuhusu zito na magwanda wenzie?acha ushabiki wakijinga chadema na uchache wao wanauadui mkubwa ambao kwa akili zako fupi kama nyanya chungu huwezi kujuwa...
   
 13. l

  lady cassandra Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huku sasa nikukosa chakufanya...ivi kwanini hamuishi kumzungumzia Nape humu jamvini?...kila kukicha mara oh Nape hamia Chadema,,mara ohh Nape wewe ndio mzalendo uliyebakia ccm,,mara oohh Nape huwezi kuibadili ccm...kweli kipele kimepata mkunaji....
   
 14. peri

  peri JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  muungwana anaangalia alipokosea anajirekebisha coz hakuna alokamilika.
  tusubiri tuone
   
 15. s

  security guard JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 80
  Bado sana...Humu JF watu hawajui wanaloongea..na hawajui uhalisia wa mambo,Nape anafanya kazi yake vizuri ya uenezi na kwa namna moja au nyingine wanachama na wapenda uzalendo utawasikia kauli zao za kumpongeza.

  Nape yupo kwa ajili ya kujenga chama , na kama umetumwa kumharibia endelea ila unachoandika ni kitu dhaifu sana,nafikiri siasa za maneno mepesi mepesi zifikie ukingoni kwa sasa.

  Tujenge nchi jamani , Wamiliki wa JF huu uozo mnaopandikiza utawamaliza nyie mwanzo na si mtu mwingine nafikiri imefika wakati wa kukaa na kuchuja yale yalio bora.

  Siasa za kulumbana kwa hoja za kitoto hazifai na mwisho wa siku tuwaambie watu hizo siasa zitatugharimu.
   
 16. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  wana ccm wangekua wasikivu unafikiri hii nchi ingekua hapa ilipo?
   
 17. paty

  paty JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  ngoja aje mwenyewe , aji evaluate na kuweka koments,
   
 18. H

  Hebron Caleb JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mtu yeyote anayethubutu kuchukua nafasi ya mbingu huyo yuko karibu kuisha Nape alisema CCM ilikuwepo, ipo na itakuwepo na kutawala Milele hayo maneno ni makubwa sana na kama mpaka leo hujayabadilisha na kuyafuta basi mbele yako naona giza kwa kweli. Kwa sababu only God is forever how can you compare your Party with God?

  Allow me to meet you for a counselling please.
   
 19. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Mkuu WAZINZI unamaaniasha yule Babu aliyeanza huo mchezo tangu akiwa mazabahuni?
   
 20. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Umesomeka mkuu na unamaanisha kabisa kale kakauli cha Mch Msigwa ndio sura halisi ya CHADEMA kilivyo
   
Loading...