Startv: Singida kuna nini tena? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Startv: Singida kuna nini tena?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by babalao 2, Jul 27, 2012.

 1. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 3,858
  Likes Received: 1,020
  Trophy Points: 280
  Jaman hamjambo wana jamvi,StarTv mchana huu baada ya matangazo ya bunge wameonyesha tukio moja la mbunge Tundu Lissu akiwa amezuiliwa na polisi kuongea na wanajimbo wake. Polis wametawanya wananchi kwa risasi wanadai kuna taarifa kunaweza kutokea vurugu. Mh.anadai ananyimwa haki yake ya kuongea na wananchi jimboni kwake. Mwenye taarifa zaidi atujuze maana polisi ni wengi eneo la tukio
   
 2. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sijakisa vizuri mkuu
   
 3. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,698
  Likes Received: 690
  Trophy Points: 280
  polisicccm inawezekana ikawa kweli.
   
 4. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,046
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Hii ilitokea toka jana..
   
 5. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 1,974
  Likes Received: 879
  Trophy Points: 280
  vipi kukiwa na taarifa kama hizo (za kiitelejensia) kwa miaka mitatu, je wataendelea kumzuia? Mie nilifikiri wataweka mtego wawakamate??
   
Loading...