Anne Kilango aweweseka kuona CCM inapuputika kutokana na kimbunga cha M4C! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anne Kilango aweweseka kuona CCM inapuputika kutokana na kimbunga cha M4C!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jul 27, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Swali la Mbunge huyu la papo kwa papo kwa PM jana lilionyesha wazi jinsi mama huyu alivyopoteza mwelekeo na kuingia kiwewe kikubwa kupukutika kwa chama chake hapa nchini katika kimbunga cha M4C kinachoendelea nchini. Anafikiri anweza kukizuia kimbunga -- hakuna anayeweza.

  Alimwambia PM kwamba ni vyema vyama vile ambavyo wabunge wao huingia majimbo ya wengine na kufanya mikutano ambayo huishia kwa vurugu. Nadhani anaelewa kuwa kazi ya kusimamia amani katika mikutano hii ni polisi, lakini pia anajua luwa polisi wetu ni dhaifu, au huwa weak kutokana na kukipendelea CCM, hivyo hakitendi haki, na ndiyo maana vurugu huanza, na wao wanatazama tu, mpaka baadaye ndiyo hutumwa na mabwana zao CCM ndiyo wanakwenda kuwakamata 'wahusika'.

  Huyu mama kweli kapoteza muelekeo na sasa hivi 'upstairs' kwake (aka brains) zimebadilika. Alijijengea yumaarufu nchini pale alipokuwa mmoja wa makamanda wa vita dhidi ya mafisadi na wezi wa mali ya umma ndani ya serikali yake, lakini sasa hivi kaufyata kabisa, bila shaka baada ya kuonywa kwamba anaweza akapoteza ubunge wake 2015, yaani chama chake kisimteue kugombea.

  Kisha rudi kundini, na kama ilivyo wengine (akina Nape, Mchemba etc) wanakalia kuweweseka tu na kimbunga cha M4C.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Huyu mama nilimkubali sana huko nyuma kwani alikuwa anakisaidia sana chama chake kiondokane na ufisadi na wizi. Kumbe yote hiyo ilikuwa magumashi tu toka kwake! sasa hivi kajiunga nao lakini ni haki yake kikatiba kutelekeza wananchi.

  Inasikitisha sana!
   
 3. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Na bado, hawa magamba wataweweseka sana, na wawe macho maana tunavyowachukia labda waandae mpango wao mwingine wa ushindi.
  Ila wajue hatutakubali kuibiwa tena kura zetu, kiama chao 2015
   
 4. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wataweweseka sana miaka hii miwili iliyobakia............tutawajua wanafiki wengi tu km akina kilango na olesendeka hapahapa tz
   
 5. s

  slufay JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sijui kama kuna chama kama ccm! Cdm ni chama cha magazeti
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Tanzania imepata Spika kwakweli
   
 7. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  ccm in amagazeti mengi kuliko chama chochote..uhuru,mzalendo,habari leo,jamba leo,daily news,sunday news,rai,mtanzania,mwananchi,annur,majira
   
 8. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Huyo Mama Kilanga anakera sana anapoongea mishipa ya shingo inakakamaa utafikiri anapakula mfupa! Vurugu zote zinasababishwa na hao MAGAMBA wakidhani wananchi watahadaika kuwa ni wapinzani ndio wanaleta vurugu.

  VIVA WATANZANIA HAKUNA KUDANGANYWA TENA
   
 9. B

  Bweru JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ataachaje kuweweseka? Si unajua aliharakisha kuwa mke wa "Tingatinga" la Magamba (Malecela) kwa matarajio ya kuwa First Lady pale Tingatinga lilipogombea urais!!

  Baada ya kuukosa akajifanya mpiganaji dhidi ya mafisadi. Sasa M4C inampelekesha. Hajui ashike wapi maana 2015 hana chake Same. Hasira za kukosa u-first lady bwana!! Hakuna kama CDM.
   
 10. U

  Udaa JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 727
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jiandandaeni kwenda kaburini kisiasa nyie nyinyiem,achani propaganda wtz tumeisha wajua.
   
 11. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Ogopa zimwi lisilokujua mbaya zaidi ulilidharau.
   
 12. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,639
  Likes Received: 1,428
  Trophy Points: 280
  Hakukaliki, hakulaliki... M4C ni noma! wanajuta kuingilia uhuru wa mahakama na kumvua Lema Ubunge
   
 13. M

  MTK JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Kuna tetesi katika viwanja vya state department hapa washington DC USA; kwamba wanatafuta jinsi ya ku-reverse tuzo la mwanamke shujaa alilopewa Anne Kilango Malecella miaka michache iliyopita!!

  Kwa kweli she is a pititul shadow of herself; Jazba; vijembe, kejeli, kelele, kutetea hoja za kijinga, she rants melancholically mpaka midomo inatoa chumvi chumvi; Mzee J.S Malecela must groaning with regret for his choice of a substitute for his late wife!!

  Mama la kinyakyusa; God rest her soul in eternal peace.
   
 14. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  yeye hakua wa kwanza na hatakua wa mwisho...akina kolimba si walianzaga hivyo ikawaje? huyu alishaambiwa afunge mdomo wake lasivyo atakuja kupata ajali ya gari...saivi kimyaa
   
 15. B

  Bob G JF Bronze Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  M4C Ni Noma,
   
 16. agatony8l

  agatony8l JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mie napita tu
   
 17. U

  Udaa JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 727
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sipati picha magamba mtakuwa na hali gani mtakapokuwa chama cha upinzani.
   
 18. b

  bdo JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,712
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  ninamshauri huyu mama awekeze kwenye uwenyekiti wa UWT la sivyo Dodoma itabaki kama ukweni na si sehemu ya kazi kama mbuge, ila nahisi anayemshauri sasa ni Le Mutuz na si aliyekuwa anamshauri awali, pole and bye mama
   
 19. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Hahaha noted mkuu umegonga penyewe
   
Loading...