Live Bungeni: Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live Bungeni: Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Listener, Jul 27, 2012.

 1. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa kuanza tu Mheshimiwa Waziri amesema anatoa hotuba fupi. Katika hali inayonivutia zaidi kulisikiliza bunge hili ni namna wabunge wanavyoshangilia utangulizi wa mheshimiwa. Tutajuzana kadri muda unavyoendelea
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Ulipaswa kuwa umetupia finyango kama si mshkaki
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Huko kishangilia kunamaanisha wabunge wameshatuuza, manake haiwezekani wawe na uelewa mmoja tena kwa pamoja.
   
 4. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hakuna mambo ya siri tena wizarani kwake na atatoa ramani zitakazoonyesha maeneo yenye umeme nchi nzima.

  migodi mikubwa kuanza kulipa mrabaha wa aslimia 4
   
 5. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Wabunge muulizeni mrahaba 4% nani wameshiriki kukubaliana na upuuzi huo!!!!
  Tunahitaji 55% ya raslimali yetu iingie direct kwenye mzunguko wa uchumi wetu.
  Katika hili hatuhitaji comparison ya failiers (states)
   
 6. K

  Kirokolo Senior Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Wamezoea kula bila hata kunawa, sasa wizara in KIDUME cha nguvu, mafisadi wamemeza zege. Hakitapita kitu kisichoeleweka pale. Wabunge wa ccm wanatumia demokrasia vibaya. Na hivi 2015 ipo karibu, wanatafuta fedha chafu kwa ajili ya kampeni. Halafu the same people wanapigia kelele wizi wa EPA na hujuma za mgodi wa meremeta wakati wao ni wezi na wahujumu wakubwa wa uchumi wa taifa hili. Tukiwapata akina Maswi na Mhongo 10 tu katika nchi hii hakika tutaendelea kwa kasi kubwa sana.
   
 7. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wachimbaji wa madini wasiofuata taratibu watafutiwa leseni za uchimbaji. leseni za uchimbaji wa madini ambazo haziwezi kufojiwa kwa urahisi zimeanza kutolewa mwezi julai, 2012
   
 8. k

  kijereshi JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  tunaongelea 4% nchi jirani kama Uganda inaongelea double digits(45%) hivi hizi 10% cut zitatupeleka wapi Watanzania mbona hatuko makini katika kila mikataba tunayoingia kwenye rasilimali zetu?hivi tunashindwa kunegotiate favourable contracts kwa maslahi ya taifa letu angalia dhahabu,almasi,tanzanite,coal,gas et al ni madudu matupu katika mikataba ya uchimbaji.kama mwekezaji hawezi kukubaliana na terms zetu si tunaachana nae kwani lazima wachimbe?
   
 9. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  I hope wakati wa majadiliano hili litajitokeza tu. Na tusubiri tuone lakini utasikia tumewashirikisha makundi tofauti ya wadau wa madini!!!! Nchi hatari sana hii
   
 10. k

  kijereshi JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hata wakati wanazipigia debe hizi noti mpya(batiki) walituambia hivyo hivyo kuwa ni za ubora wa hali ya juu tazama zilivyo sub-standards mpaka unajiuliza hivi huyu Prof.Ndulu anafanya nini au yupo kama bendera tu fata upepo
   
 11. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  upatikanaji wa madini ya uranium: Namtumbo na manyoni ndo maeneo yaliyothibitishwa kuwa na kiasi kinachoweza kuchimbwa kati ya maeneo mengi yalotajwa. Eneo la mradi wa namtumbo liko katika hifadhi ya selous na serikali imeiomba UNESCO kuongeza eneo la mradi na wamekubaliwa
   
 12. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Hayo makundi mkuu listener hayana mandate ya kuuwakilisha uma wa watanzania, wenye hiyo mandate ni wabunge, nao wawe wamejadiliana na wananchi wanaowawakilisha full stop.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,301
  Likes Received: 953
  Trophy Points: 280
  Pia kutokana na tafiti zetu tulizofanya nchi mbali mbali, tumegundua kuwa hiki ni kiwango kizuri kwa kukuza uchumi wa taifa.
   
 14. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  watupe hizo tafiti tuzione, tuzikosoe!!
   
 15. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Guys is the a link we can use to listen to the session live?
   
 16. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,406
  Trophy Points: 280
  Gharama ya kuunganishiwa umeme yashuka... vijijini imeshuka kwa asilimia 60 na mjini imeshuka kwa >20%!

  Sasa ni 177000 kwa vijijini na 340000+ kwa mijini..

  Source: waziri mhongo bungeni live now
   
 17. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  leo nina uhakika hakuna utoro bungeni...wabunge wote leo wapo maana bajeti inayosomwa ni ile ya MLO...kila mtu ana chake hapo
   
 18. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
 19. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kwani yeye ndulu anawasiwasi gani anakaa nyumba ya kodi yako billion 3 malipo kwa mwezi 20m gari safi walinzi kibao
   
 20. u

  ukweli2 Member

  #20
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Nimesikia Jamaa amesema mapato yanayopatikana na GMM na Resolute sijackia Barrick aliyesikia naomba aseme mapato yatokanayo na Barrick ni Sh.ngapi?
   
Loading...