Ni vigezo gani vilitumika kugawa form na kupata viwanja vya gezaulole? (selection criteria)

Apr 2, 2012
73
59
Wana jf natumaini hamjambo,

Nimejiuliza sana lakini sikupata jibu ya kuwa ni vigezo gani vilitumika kugawa form na kupata majina ya watakaopata viwanja.

Manispaa ilitambua kuwa ina viwanja 1800 na kwa mujibu wa vyombo vya habari form zilitolewa 20,000. Kwa nini zitolewe form 20,000 wakati viwanja ni 1800 tu? Wako kwa ajili yakutoa huduma ( service provider) au kufanya biashara?( business oriented)

Then swali jingine sawa ushapata application 20,000, utachaguaje watu wa kuwapa?

To be honest mimi niliamka saa kumi usiku kwenda kutafuta form siku ya pili maana siku ya kwanza sikufanikiwa kupata kiwanja.

Matokeo sikupata kiwanja, nilipoteza muda wangu siku mbili na hela 30,000.
 
Wana jf natumaini hamjambo,

Nimejiuliza sana lakini sikupata jibu ya kuwa ni vigezo gani vilitumika kugawa form na kupata majina ya watakaopata viwanja.

Manispaa ilitambua kuwa ina viwanja 1800 na kwa mujibu wa vyombo vya habari form zilitolewa 20,000. Kwa nini zitolewe form 20,000 wakati viwanja ni 1800 tu? Wako kwa ajili yakutoa huduma ( service provider) au kufanya biashara?( business oriented)

Then swali jingine sawa ushapata application 20,000, utachaguaje watu wa kuwapa?

To be honest mimi niliamka saa kumi usiku kwenda kutafuta form siku ya pili maana siku ya kwanza sikufanikiwa sikupata na matokeo yake sikupata kiwanja.

Matokeo sikupata kiwanja, nilipoteza muda wangu siku mbili na hela 30,000.
Kamuulize yule Dr wenu Kandungulile
 
siku nyingine kwenye jina lako mwisho weka la kiongozi yeyote, mfano kama wewe ni Juma Ramadhani mwisho weka Kikwete, au Michael Yohana mwisho weka Pinda...... wakisha kupa tu unabadilisha jina kuwa mliosea
 
siku nyingine kwenye jina lako mwisho weka la kiongozi yeyote, mfano kama wewe ni Juma Ramadhani mwisho weka Kikwete, au Michael Yohana mwisho weka Pinda...... wakisha kupa tu unabadilisha jina kuwa mliose

You MUST be genious! I wish I knew.

But hang on little bit, that can't be impersonation? which is a CRIMINAL offense!
 
Back
Top Bottom