Magazetini - Zitto Kabwe anavyolilia urais

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,898
SAM_4095.JPG
SAM_4097.JPG
SAM_4099.JPG
 
Zitto kweli anaulilia Urais .......Mwalimu nyerere alisema tuogope sana mtu anayeomba au kulazimisha
 
Kwa kiwango kama hiki alichofikia Zitto hata kulalamikia bungeni ili ahurumiwe kwamba ndoto za urais zitimie ni bumu hatari sana. Yote mazuri aliyofanya yamefunikwa na hili kwamba ni jitihada za kutaka kuingia Ikulu si dhana ya kweli kutetea masilahi ya nchi.
 
Mbona slaa alilazimisha mpaka kusema inchi haitatawalika, sikusikia mtu aliemsema vibaya.
 
Zitto Kabwe ni Mkongo ambaye anatumiwa na kiongozi mmoj anchi jirani kutimiza ndoto yao ya watutsi kuongoza eneo la maziwa makuu. Amefanya vikao kadhaa hapa Dar, Kigoma na hata Bukavu. Tuna wasiwasi huyu mtu anaweza kutumia hata mtutu wa bunduki kuingia Ikulu. Zitto ni mtu wa kuogopwa kwa usalama wa hii nchi.
 
Hatuwezi kuruhusu Nchi yetu itawaliwe na mkongo bali tunataka mtanzania halisi. Full stop.
 
Mbona slaa alilazimisha mpaka kusema inchi haitatawalika, sikusikia mtu aliemsema vibaya.

Dr. Slaa hajawahi kuomba kugombea urais, hata ubunge aliombwa na wanakaratu agombee.

Slaa alishachukua form ya kugombea ubunge jimboni mwake, alilazimika kwa shingo upande kukubali shinikizo la uongozi wa chama chake kumwomba agombee urais. We unapotosha ukweli.
 
Kisiasa alipoteleza Zitto ni kusema manenoa haya Bungeni.. Pale it's not about me na swaga zake...Nafikiri anaanza kampeni vibaya hata kama kweli ndio nia yake..Hii ilitakiwa ndani ya chama chake apate support kwanza ndani hata kama angepata maadui pia.
 
Huyu Jamaa ni janga chadema nshasema nasitaacha kusema hafai kwa ushauri aanze kujenga familia kwanza kuwa rais labda wa ccm na sio chadema hafai ata kidogo. Ni mbunge tuu kilasiku ulaya akiwa rais si atamzidi baba ritz1?
 
Kisiasa alipoteleza Zitto ni kusema manenoa haya Bungeni.. Pale it's not about me na swaga zake...Nafikiri anaanza kampeni vibaya hata kama kweli ndio nia yake..Hii ilitakiwa ndani ya chama chake apate support kwanza ndani hata kama angepata maadui pia.

Mkandala umeona sasa hali halisi. Kuna kitu kisicho cha kawaida sana kwa Zitto, na hili ameshawahi kutamka mara nyingi sana, ni dalili mbaya kuhangaikia bila kutafuta utendajiwa ambao utamfanya wananchi wamwamini. Wengi walikuwa na mtazamo mzuri sana lakini sasa inaelekea kutifuka kutokana na alivyoharibu bungeni.
 
Wanaopitisha mgombea Urais CDM wako kimya tusiohusika tunaumiza vichwa kisa Zitto kabwe katangaza nia! Jamani hata mwendawazimu anaweza kutangaza nia kwani ndo atakuwa Rais? Mi nakumbuka Marehemu Mzee Mwasanguti aliuza ng'ombe wake kwenda kununua fomu ya kuomba achaguliwe na ccm kwenda kugombea urais, hawa watu wapo na wataendelea kuwepo
 
Kwanini gazeti la Tanzania Daima liko negative sana kuhusu Zitto? eti "Urais Unamtesa Zitto".
Gazeti la Mwananchi limeandikaje habari hii?
 
Rais wa nchi si wa Chadema au CCM au sijui chama cha Mtikila na mzee mapesa, ni Raisi wa nchi ya Tanzania. Sisi tuna haki ya kujadili na kufanya upembuzi akama anafaa au la kwani ndio wapiga kura. Tukiacha bila kufanya uchambuzi ndio haya ya kuangukia wa chini ya kiwango kutinga magogoni kisha kuwa mtalii muda wote wa urais kuijua dunia wakati wananchi wanataabika hawana hata senti ya kununulia kitumbua atulize njaa.
 
Kwanini gazeti la Tanzania Daima liko negative sana kuhusu Zitto? eti "Urais Unamtesa Zitto".
Gazeti la Mwananchi limeandikaje habari hii?

Kuna magazeti kadhaa ambayo yamenukuliwa si Tanzania Daima tu.
SAM_4096.JPG

Zitto ang'ang'ania urais

SAM_4101.JPG

Zitto aulilia urais
 
Back
Top Bottom