Mv liemba ina miaka 99 bado inabeba abiria 3000 kila siku , tunasubiri maafa ndio tuipumzishe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mv liemba ina miaka 99 bado inabeba abiria 3000 kila siku , tunasubiri maafa ndio tuipumzishe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilisosi, Jul 27, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nimefikiria sana suala la kuzama meli zanzibar na nikaangalia usalama wa vyombo vingine nilivyowahi kusafiria tanzania. Nimeikumbuka hii meli Mv Liemba ya lake tanganyika ambayo ni ya zamani sana. Nadhani ingekuwa uamuzi wa busara kuisimamisha kazi hii meli kabla haijaleta maafa.
  Hii meli ni kubwa sana ina uwezo wa kubeba abiria kama 3000 na kama ikizama maafa yake yatakuwa makubwa sana kwa sababu lake tanganyika lina kina kirefu sana.
  Kwa nini serikali isinunue meli nyingine na kui pumzisha hii liemba ili iwe kama ya makumbusho tu???

  hebu soma chini historia ya hii meli.

  The MV Liemba, formerly the Graf von Götzen, is a passenger and cargo ferry that runs along the eastern shore of Lake Tanganyika. She is operated by the Marine Services Company Limited of Tanzania[1] and operates between the ports of Kigoma, Tanzania and Mpulungu, Zambia with numerous stops to pick up and set down passengers in between.
  Graf von Götzen was built in 1913 in Germany, and was one of three vessels operated by the German Empire to control Lake Tanganyika during the early part of the First World War. Her master had her scuttled on 26 July 1916 off the mouth of the Malagarasi River during the German retreat from the town of Kigoma. In 1924 a British Royal Navy salvage team raised her and in 1927 she was recommissioned as the Liemba.
   
 2. A

  August JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  hivi hao marine services ni shirika la umma ama ni la binafsi sasa? na kama ni binafsi nani ana li miliki?
   
 3. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Wakichukua nchi Chadema ndo watadhibiti wazembe, lakini Magamba ndio kafara zao kuua halaiki ya watu.
   
 4. paty

  paty JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,257
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  hii ndo bongo land, dampo, wabishi, vipofu ingawa tuna macho... alafu ikizima faster wanaunda tume wapige mpunga, Yaani sisi !!!!!!!!!!!!!$#!@#%$!!!!!!!!!!!!!!! kama tumerogwa vile
   
 5. S

  Sessy Senior Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi kuna meli yoyote mpya tanzania?
   
Loading...