Maandamano ya wafanyakazi sekta binafsi arusha jumamosi 28-7-2012

Sheria kandamizi lazima kieleweke! Hata kidogo ambacho hatuna pia wanatunyang'anya.
 
Sheria kandamizi lazima kieleweke! Hata kidogo ambacho hatuna pia wanatunyang'anya.Lol!
 
Kwa nini jumamosi?
kwanini isiwe siku ya kazi.
ina uzito mkubwa sana yakiwa working day
 
Siku zote kudai haki huwa ni mapambano. Maandamano pekee hayatasaidia. Napendekeza kila muandamanaji aweke mawe matatu mfukoni. Wakifika hapo PPF wakaweza kupasua vioo vya magari hata mawili, ujumbe utawafikia hawa wakoloni haraka zaidi.
 
Tafsiri ya Kuandamana ni kushindwa kutatua tatizo laki na kuweka pressure kwa mtu mwingine ili akutatulie tatizo lako.....sifagilii maandamano kama njia ya kitatua matatizo wakae mezani,wajenge hoja.
 
Yataanzia nmc na kuishia PPF
We mleta mada mbona unaleta utani kwenye mambo yanayo umiza watu wengi?
Ungeeonekana upo serious kama ungesema saa ngapi watu wakutane,Na je maandamano hayo yataongozwa na chombo gani,Na kwa wafanyakazi waliopo makazini siku hiyo itakuwaje?
Lete taarifa inayoeleweka tuunge mkono hayo.
 
Chombo kilichoandaa ni jumuiya ya wafanyakazi maana tucta wametuuza, yataanza saa 9 hadi 12
 
Fanyeni hivi katikati ya wiki sio jmos hawa wajinga wa serikalini hawafanyi kazi jmosi aise,.....
 
Back
Top Bottom