Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ritz, Jul 17, 2012.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,

  Baada ya kuja na mbinu za kisiasa tofauti tofauti hatimaye Dr Slaa, kaja na mbinu mpya ambayo ni harakati bila mikatati na mbinu dhaifu.

  Dr Slaa sasa kaanza mkakati wa kutaka aonewe huruma na wananchi kutokana na kile anachokiita kufuatwafuatwa na vyombo vya dola kwa ni ya kutaka kumuua, inashangaza Dr Slaa kubadili mwelekeo wa siasa zake za kutaka nchi isitawalike na kuomba huruma kwa wananchi.

  Neno kutaka kuniua ni zito sana ni jinai ndio maana mtu akitishiwa kuuwawa anakimbilia polisi kutoa taarifa na kupatiwa RB. Hakuna aliyeko juu ya sheria ambaye anaweza kumtishia kuua kiongozi kama Dr Slaa halafu akaachwa tu eti yeye ni usalama wa taifa.

  Dr Slaa anasema hana imani na taasisi za dola, huyo huyo anayelilia kutaka kwenda Ikulu sasa akifika huko atafanya kazi na taasisi gani, Itakumbukwa mwaka 2010 Dr Slaa aliwangoza viongozi wa chama chake kupinga matokeo ya urais lakini wakikubali matokeo ya ubunge na udiwani. Alikuja na msamiati wa kuchakachuliwa kura zake bila ushaidi.

  Dr Slaa kama hana imani na uongozi wa rais Kikwete ilikuaje yeye pamoja na viongozi wenzake kuwa watu wa kwanza kwenda Ikulu kuonana na rais Kikwete katika mchakato wa katiba...hivi Dr Slaa kweli hujui kwamba hii amani na utulivu tunayojivunia Watanzania tangu tupate uhuru wetu inatokana na uimara wa taasisi zetu za dola.
   
 2. mndwadage

  mndwadage JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 345
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umemaliza.?
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Hizi si tuhuma za kwanza za Dr Slaa kwa usalama wa taifa mwaka 2010 alisema usalama wa taifa kushirikiana na tume ya uchaguzi imeingiza makontena ya kura za bandia kutoka Afrika Kusini polisi walipoyakamata hayo makontena wakayafungua mbele ya viongozi wa Chadema na kubainika hayakuwa na kura bandia bali ni Vipodozi! Viongozi wa Chadema wakaonekana waongo na wazushi.
   
 4. S

  SEBM JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 496
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Dhaifu
   
 5. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Tumewazoea huna jipya. The same old song.
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Hawa ndio wafuasi wa Chadema angalia majibu yao.
   
 7. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Andika "HARAKATI BILA MIKAKATI NA MBINU DHAIFU (HAFIFU) ZA MWIGULU MOSES NCHEMBA" ndiyo utaeleweka vizuri.
   
 8. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kinachonichukiza na wakati mwingine kunifurahisha sana huwa huna jipya kabisa, huwa unanichukiza sana na kunifurahisha kidogo.
   
 9. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sasa umeandika au Ume.ha.ra?

  Mwisho wa kutetea udhalimu kwa malipo ya posho mwisho wake umekaribia.
   
 10. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Unamzungumzia mwigulu nchemba???. Kama ni yeye ongezea na neno Muuaji.
   
 11. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Na wewe ndie kibaraka wa Nape na Msaliti wa nchi hii. Hivi wanao watajifunza nini kwa baba kama wewe.??
   
 12. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  sura mbaya kama umetoka kufukuliwa kwenye mchanga
   
 13. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Achana nao hao mkuu, hawana uwezo wa kufikiri!
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  inatokana na watu wa aina yako wanaoendesha maisha yao kwa kuwalisha sumu ya uwoga Watanzania ili waendelee kuitumbuwa nchi.
   
 15. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Pia mbinu chafu waliyotumia ni ya kumteka na kumtesa Dr. Ulimboka ili waichonganishe SERIKALI SIKIVU na Madakari na wananchi kwa upande mwingine. Ndiyo maana hawataki kuunda tume huru ya uchunguzi.
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,325
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Hivi Ritz, kwasababu usalama unafanya kazi kwa kanuni na taratibu wake, tuambie, na wewe ni msemaji wa usalama wa Taifa? Tumeona siku hizi kuna mparanganyo mkubwa wa watu wanaotoa habari kwa niaba ya serikali. Just trying to understand....
   
 17. ruhi

  ruhi JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,409
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  kwa sasa kange lugora mp,amemtaja kweka kua anasaidiana na majambazi kufanya ujambazi sasa amesema anaushaidi ebu subiri kama polisi watafanya cha maana kuhusu ili kwa kumfikisha kweka MAHAKAMANI kama ushaidi ni wa kweli au kumweka lugora kwa uzushI.
   
 18. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Mimi siku zote najiuliza , mtu akitaka nchi istawalike ana maana gani.
  Kutotawalika ni kwa aina gani?
  Tuna mifano kama Somalia na hivi karibuni kuna Syria.
  Je huko ndiko CHADEMA ilikoelekeza macho yake? ili mradi tu wapate kutawala?

  Aombaye gharika, na hana hata boti, asitegemee weledi wake wa kuogelea, atachukuliwa na maji tu.
   
 19. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Hawa wafuasi ni vilaza tupu'nashangaa wanajiita great thinker'kweli greath thinker anaendeshwa na ushabiki usio na maana,kila kitu CDM kiko sawa kwa asilimia mia moja,imekuwa Chama cha malaika hiki?
   
 20. only83

  only83 JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ritz ni kubwa zima lakini hoja zako za kitoto kabisa.
   
Loading...