Swali kwa Chadema kuhusu hatma ya Kisiasa 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa Chadema kuhusu hatma ya Kisiasa 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmaroroi, Jul 27, 2012.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Swali langu kwa Chadema ni kuwa kumekuwa na fununu kuwa kuna vigogo kutoka CCM wanataka kuhamia Chadema. Sasa je wanawasubiri ili mmojawao agombee urais kupitia Chadema?Kama ndio utaratibu utakuwa je maana ndio huweza kuwa kikwazo kama kina Shibuda. Na kama sio kwanini wanaoushabikia UCCM ndani ya Chademe wasishughulikiwe?Naomba majibu kwa yeyote, ikiwezekana majibu kutoka kwa viongozi wa Chadema utawasaidia wananchi kujua ukweli.
   
 2. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,477
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Swali sio la msingi, waulize CCM hatima yao 2015 kwa sababu ndo waliopo madarakani.
   
 3. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Lengo langu ni kuipa Chadema ushauri ili isijeingia majaribuni kama CCJ.
   
 4. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ushauri wako peleka CCJ, ADC, CUF, na CCM wanaokulipa kwa pumba zako. Hivi wewe kwa andiko lako hilo una hadhi ya kuweza kuishauri CHADEMA? Hauna hadhi hiyo ndugu, CHADEMA hawawezi kupokea ushauri kutoka kwako labda NAPE na CCM.
   
Loading...