Kama Katiba ya Ghana ndio bora Afrika ??

The Fixer

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
1,365
583
Wanajamvi,

Kumekuwa na habari katika nyingi nyingi tu kwenye vyombo mbali mbali vya habari kuwa Katiba ya Ghana ndio Katiba bora kuliko zoote Afrika ! Mi naomba mumwambie Kaka mkubwa akienda kwenye msiba wa Marehemu Rais wa Ghana Prof Mills kama kawaida yake achukue Flash hata GB 8 kama hii yangu ili amwambie huyu aliyeapishwa juzi amnyonyee kwenye Flash tuje tui - edit tu mambo madogo madogo ya majina then tuizindue kama yetu, kwani hata vitu vizuri hatuwezi kuiga jamani ?
Jamani, Enyi mlio karibu na Kaka mkubwa msifanye masihara maana tayari UDINI umeshika kasi nchini ! Tumieni muda huo kuiokoa Tanzania yetu
 
Unataka achukue Katiba ya Ghana ili CCm isirudi Madarakani?

Mimi nataka awaombe soft copy ili na sisi tuwe na Katiba swaafi na hata kama CCM isiporudi madarakani wala sijali maana hao CCM kwani wanahati miliki ya kuitawala hii nchi waitakavyo maisha yao yoote ?
 
Katiba ya Ghana ina serikali moja na Amri Jeshi mkuu mmoja
Katiba ya Ghana haina wabunge wa VITU MAALUM
Katiba ya Ghana haina Mahakama ya Kadhi
Katiba ya Ghana TUME YA UCHAGUZI haiteuliwi na Rais

hayo ni machache ambayo kwa hapa Tanzania kamwe CCM hawatakaa wayakubali kwenye katiba mpya.
 
Naongezea tu mkuu...
Katiba ya Ghana Rais hana madaraka makubwa kama ya JK
Katiba ya Ghana Spika hapatikani kama wananyofanya magamba
 
Dear JF members, please find attached is an electronic copy of the constitution of Ghana. Nawatakia reference njema ili ifikapo kuchangia kwenye katiba mpya mujimwage mwage.
 
Attachments

  • Ghana Constitution_ Year 1992.pdf
    307.1 KB · Views: 40
Kwanza utangulizi wake tu unakuvutia kuwa kilichomo ndani kina maslahi ya wananchi.

THE CONSTITUTION
OF THE REPUBLIC OF GHANA​
IN THE NAME OF THE ALMIGHTY GOD
We the People of Ghana,​
IN EXERCISE

of our natural and inalienable right to establish a framework of government, which shall secure for ourselves, and posterity the blessings of liberty,equality of opportunity and prosperity;

IN A SPIRIT​
of friendship and peace with all peoples of the world;

AND IN SOLEMN​
declaration and affirmation of our commitment to;Freedom, Justice, Probity and Accountability;The Principle that all powers of Government spring from the Sovereign Will of the People;The Principle of Universal Adult Suffrage;The Rule of Law;The protection and preservation of Fundamental Human Rights and Freedoms, Unity andStability for our Nation;

DO HEREBY ADOPT, ENACT AND GIVE TO OURSELVES THIS​
CONSTITUTION
.

THE CONSTITUTION OF THE UNITEDREPUBLIC OF TANZANIA, 1977PREAMBLEFOUNDATIONS OF THECONSTITUTION

WHEREAS WE, the people of the United Republic of Tanzania, have firmly and solemnly resolved to build in our country a society fraternity on the principles of freedom, justice, founded and concord:

AND WHEREAS those principles can only be realised in ademocratic society in which the Executive is accountable to a Legislature composed of elected members and representative of the people, and also a Judiciary which is independent and dispensesjustice without fear or favour, thereby ensuring that all human rightsare preserved and protected and that the duties of every person arefaithfully discharged:

NOW, THEREFORE, THIS CONSTITUTION IS ENACTED BYTHE CONSTITUENT ASSEMBLY OF THE UNITED REPUBLIC OFTANZANIA, on behalf of the People, for the purpose of buildingsuch a society and ensuring that Tanzania is governed by a Government that adheres to the principles of democracy and socialism.​
 
Kweli mkuu utangulizi unavutia mpaka kuusoma
Na naamini kwa utangulizi ouliotolewa hapo unaendana na kile kilichomo ndani mwake
 
63 (1) A person shall not be a candidate in a presidential election unless he is nominated for election as
President by a document which -
(a) is signed by him; and
(b) is signed by not less than two persons who are registered voters resident in the area of authority of each
district assembly;
(c) is delivered to the Electoral Commission on or before the day appointed as nomination day in relation to
the election;
(d) designates a person to serve as Vice-President.

Hebu angalia mtu anayefaa kuwa mgombea urais huko Ghana
 
Wanajamvi,

Kumekuwa na habari katika nyingi nyingi tu kwenye vyombo mbali mbali vya habari kuwa Katiba ya Ghana ndio Katiba bora kuliko zoote Afrika ! Mi naomba mumwambie Kaka mkubwa akienda kwenye msiba wa Marehemu Rais wa Ghana Prof Mills kama kawaida yake achukue Flash hata GB 8 kama hii yangu ili amwambie huyu aliyeapishwa juzi amnyonyee kwenye Flash tuje tui - edit tu mambo madogo madogo ya majina then tuizindue kama yetu, kwani hata vitu vizuri hatuwezi kuiga jamani ?
Jamani, Enyi mlio karibu na Kaka mkubwa msifanye masihara maana tayari UDINI umeshika kasi nchini ! Tumieni muda huo kuiokoa Tanzania yetu

mkuu haina haja ya kubeba flash. ukigoogle utaipata katiba ya ghana bila mikwaruzo.
 
Natamani CHADEMA kwenye hiyo M 4 C yao wangetembea na sofy copy hiyo ili jamaa zetu wa CCM waone tofauti na iwe ni issue hata mpaka bungeni iwe gumzo maana hawa jamaa ukisema tu kitu jimboni mwao wanaipeleka mpaka Bungeni. Ikiingia humo ndio mambo yoote yataanzia huko ! So kama soft copy inapatikana JF basi Kaka mkubwa aje na Flash yake humu ainyonyee na atuachie hii maana kwahili tu ndio tutamkumbukaa....!
 
Wanajamvi,

Kumekuwa na habari katika nyingi nyingi tu kwenye vyombo mbali mbali vya habari kuwa Katiba ya Ghana ndio Katiba bora kuliko zoote Afrika ! Mi naomba mumwambie Kaka mkubwa akienda kwenye msiba wa Marehemu Rais wa Ghana Prof Mills kama kawaida yake achukue Flash hata GB 8 kama hii yangu ili amwambie huyu aliyeapishwa juzi amnyonyee kwenye Flash tuje tui - edit tu mambo madogo madogo ya majina then tuizindue kama yetu, kwani hata vitu vizuri hatuwezi kuiga jamani ?
Jamani, Enyi mlio karibu na Kaka mkubwa msifanye masihara maana tayari UDINI umeshika kasi nchini ! Tumieni muda huo kuiokoa Tanzania yetu

Tatizo la Tanzania au Afrika sio Katiba! Tatizo ni sisi watz na utamaduni wetu, kwa hiyo hata Katiba nini ya Ghana leta ya Marekani au hata Greenland hakuna kitachobadilika, kwa maana nilishasema utamaduni wetu hautoi nafasi ya kuendelea vile wengine walivyoendelea!
 
watu wa Ghana walipata uhuru wa kweli walipomwondoa mkoloni. Hapa Tanganyika mkoloni mzungu alimkabidhi madaraka mkoloni mweusi(TANU na sasa CCM). Ipo siku tutapata uhuru wa kweli
 
Wakuu hii Katiba imeenda shule na imeshiba kila nyanja. Hebu cheki hapa:

(1) Parliament shall have no power to enact a law establishing a one-party
state.

(2) Any activity of a person or group of persons which suppresses or seeks
to suppress the lawful political activity of any other person or any class of
persons, or persons generally is unlawful.

Jamaa wako makini sana kuhakikisha Mfumo wa Vyama Vingi unalindwa hata Bunge haliruhusiwi "kuuchezea". Mtu yeyote (bila kujali madaraka yake) haruhusiwi kwa namna yoyote kuzuia shughuli zozote halali za KISIASA.

Yale mambo ya Mwema na Kova kuhusu intelijensia za kufikirika Katiba ya Ghana imezuia. Polisi na Watawala (Wakuu wa Wilaya, n.k.) wanapaswa kutimiza wajibu wao kulinda shughuli za kisiasa badala ya kuleta visingizio visivyo na mbele wala nyuma. Inapendeza.

(1) All persons shall be equal before the law.

(2) A person shall not be discriminated against on grounds of gender, race,
colour, ethnic origin, religion, creed or social or economic status.

(3) For the purposes of this article, "discriminate" means to give different
treatment to different persons attributable only or mainly to their
respective descriptions by race, place of origin, political opinions, colour,
gender, occupation, religion or creed, whereby persons of one description
are subjected to disabilities or restrictions to which persons of another
description are not made subject or are granted privileges or advantages
which are not granted to persons of another description.

Halafu kuna wengine wanataka tuweke mahakama ya kadhi kwenye Katiba!
 
Ivi mnikulu si yumo humu kwa id tofauti....basi aonyenye hiyo pdf hakuna atakae mcheka...ni ushujaa pia
 
Back
Top Bottom