Ikitokea... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ikitokea...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Jul 26, 2012.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,073
  Likes Received: 4,006
  Trophy Points: 280
  Hivi ikitokea Filikunjombe, Nassari na Mdee walisema Zitto anafaa kuwa Rais/ni Rais ajaye; nini mustakabli wao katika siasa? na credibility ya hawa wanasiasa itakuwa vp? na popularity ya Zitto itakuwa vp? yangu mie masikio na macho kusubiria hizo tapes zenye ushaidi wa record zao!
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hao uliowataja hawawezi kusema hivyo kwa vile mhusika hana sifa za kuwa rais. Tujitahidi kuepuka cheap popularists. Kwanini hatukujifunza kwa Kikwete ambaye aliingia kwa njia hii? Zitto ana ambition ya kuwa rais lakini hana credibility. Ni mkabila kwa vile ameshindwa kuwakemea watu wake kama vile Kafulila wanaosema lazima rais atoke Kigoma. Ameshindwa hata kukishauri chama chake kiachane na wafadhili kama Sabodo. Ameshindwa hata kuoa!
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Zito zee zima halina hata mtoto limeishia kununua hummer kwa hela za kifisadi huyu bwana Mdogo lazima ni mwizi wa Mali za umma
   
 4. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Kaka unapenda kutukanwa? Subiri waje wenyewe uone moto wake maana hawatakubali ukweli mimi niko kimya subiri kidogo wanakuja
   
 5. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,366
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Liwalo na liwe....
   
 6. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wabongo tunamatatizo,wakisema!kwani wakisema lzm iwe!?...by the way zitto haeleweki,msaliti so ni ngum sn
   
 7. a

  armanisankara JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  zitto ana mtoto mmoja. nadhani zitto angekua mtu wa Moshi au Arusha kusengekua na shida.
   
 8. b

  beyanga Senior Member

  #8
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanatumia majina mengi sana nia yao ni kujifanya wasemaji kama wanachama wa chadema sasa muwaangalie wanapozidiwa singida na sumbawanga wanjifariji kwa kuwasema akina zito lema slaa lissu lakini ni haohao wanaotumia majina tofauti muwaogope kama ukoma ni bora warudi lumumba wakaombe posho upya
   
 9. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,480
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Nasubiri ukweli ukianikwa ndo ntachangia kwa sasa napita tu.
   
Loading...