Deo filkunjombe kuwa rais wa kwanza kutoka nyanda za juu kusini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Deo filkunjombe kuwa rais wa kwanza kutoka nyanda za juu kusini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanaharakatihuru, Jul 27, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika maono nimeona rais akitoka nyanda za juu kusini na huyu ndio yule atakaye badilisha nembo ya fedha kutoka twiga kwenda chui na kuvunja laana ya kubwa jinga ya twiga ambaye ana uranium mafuta madini na mengineyo mengi lakini maskini.

  Na huyo ni DEO filkunjombe.
   
 2. R

  Ray2012 JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  nini vigezo vyako mkuu, tujuze!
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,183
  Trophy Points: 280
  Haya sasa, Nassari na CHADEMA washaanzisha vita vya "Nyanda" zitakazotoa rais.

  Hatuangalii rais atakuwa na uwezo gani tena, tunaangalia nyanda, nembo na stagha**** nyingine kama hizo.

  SMH
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mtu akishajitokeza kuonyesha dalili za kutetea wananchi ni kuzawadiwa tu urais?
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Deo ni muwazi na mkweli, hakuna unafiki na anaonekana kutoka moyoni mwake!
  Ana future kubwa ndani ya nchi hii, no matter being the president of our loved country!
  I real appreciate the way he represent his voters!

  He has to shift from the what is so called magambas!
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Umetumwa vibaya ukatumika vibaya
   
 7. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Deo naye si msafi sana kama tunavyodhania! lakini ni mtu asiyependa masihara katika kazi. Ni aina ya watu kama EL katika utendaji kazi! note katika utendaji kazi
   
 8. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Magamba sidhani km wanaliwaza hilo!na the hate the transpancy!anatakiwa ang'oke magambani na ajiunge na m4c kabla mlango haujafungwa!he is a good man,wise and transparent,but he is not good in such coz yuko kwenye chama dhaifu.
   
 9. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,764
  Likes Received: 6,075
  Trophy Points: 280
  Keshakuambia ni maono/ndoto sasa vigezo kivipi tena?
   
 10. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  kwanini awe deo na si mama makinda??? wote si wanatoka nyanda za juu kusini!!! ?? hivi wa tz mna pepo la ukanda siku hizi?
   
 11. peri

  peri JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  kumbe vigezo ni kanda anayotoka mtu?
  Ckujua hilo.
  Filikunjombe kaonyesha uwezo but kwa mtu makini inahitaji mda zaidi kabla ya kusema lolote kuhus huyu mhshmiwa.
  Watu wanabadilika sana, tumeona wengi
   
 12. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mliposema mchagga hawezi kuwa rais mliwaza nini
   
 13. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,764
  Likes Received: 6,075
  Trophy Points: 280
  Wakuu mleta mada keshasema very clearly ni "maono". Badala ya kumlaumu yeye tutatenda haki endapo tutamlaumu huyo "mungu" au "shetani" wake aliyemletea hiyo ndoto kwani yeye katumiwa kama chombo tu cha kuleta ujumbe. Tena habari njema ni kwamba ujumbe wenyewe tunaweza kuupuuza kwa 100% na usiwe na madhara yoyote.
   
 14. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  RAIS wa maana hawezi kupatikana kupitia chama kinachoundwa na mtandao wawahuni
   
 15. peri

  peri JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Alaa, kumbee??
  Nakusoma vyema mkuu.
  Lkn anaeitwa baba wa taifa si ndo alisema hayo?
  Au aliteleza?
  Kumbe ukanda/ukabila/udini/rangi vilianza kuhimizwa ck nyingi sana tena na watu wakubwa.
  Nashukuru sana kwa kunifungua mkuu, nimpata shule ya kutosha.
  I Hope na wengine wataelewa.
   
 16. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Haya sasa, tunasubiri kanda ya ziwa nao watutajie mgombea wao!!!
   
 17. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  No doubt unaonglea mtu ambaye watanzania wenye mtazamo chanya wanamtazama kwa matumaini. Umeharibu hoja yako kwa kuingiza "ukanda".

  Jamani, Tanzania yetu hii ni moja. Ebu tuitazame hivyo na watanzania wote tuwaone ni raia wa nchi hiyo moja, basi! Fikra hizi ambazo msingi wake ni kutugawa zinatuchelewesha!
   
 18. m

  majebere JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  rais lazima atokee usukumani, nasema hatukubali safari hii.
   
Loading...