Msekwa: Nguvu ya Chadema ni kama TANU 1958 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msekwa: Nguvu ya Chadema ni kama TANU 1958

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kapotolo, Jul 26, 2012.

 1. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  • Asema Kimepata Nguvu Mpya Baada ya Uchaguzi wa 2010
  • Akiri CCM kujisahau na Kubweteka baada ya 2005
  • Athibitisha Nape Kuomba fedha moja kwa moja kwa Mwenyekiti.
  Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Pius Msekwa ameifananisha ari na nguvu ya Chadema na ile iliyokuwapo TANU wakati wa Vuguvugu la kudai Uhuru. Alisema 'kutokana na uzoefu wangu katika siasa, ushindani uliopn chini kati ya CCM na Chadema ni ushindani mkubwa na wenye Changamoto nyingi zikiwamo zile zinazoendana na wakati wa sasa'.

  Amesema Chadema wamepata Nguvu hiyo baada ya kushinda viti vingi vya majimbo na kata. CCm walijisahau baada ya ushindi wa 80% mwaka 2005.

  Pia Msekwa amethibitisha mara mbili Nape kuomba fedha moja kwa moja kutoka kwa mwenyekiti (JK) na mwenyekiti amekuwa akimpatia. kwa njia moja ama nyingine hili halikueleweka pale makao makuu, lakini pia mwenyekiti huwa ana pesa zake anazotumia kwa ajili ya kukiendesha chama.

  Hata hivyo Nape amekanusha kuwahi kuomba pesa kutoka kwa mwenyekiti.


  Habari kamili; Soma RAI July 26 - Aug 2.

  Maoni yangu;
  • Anachokisema msekwa ni kweli na kama TANU ilivyoweza kumtoa mkoloni mweupe, Chadema itamtoa mkoloni mweusi - CCM
  • Shutuma za kwamba Nape anatumiwa na mwenyekiti kuidhoofisha kambi fulani zinaweza kuwa za kweli, hii inatokana na ukweli wa yeye kupewa pesa moja kwa moja na mwenyekiti, kitu ambacho si utaratibu wa chama na kimelalamikiwa makao makuu.
  • Nape asipende kukanusha kila kitu, sidhani kama mzee msekwa ana sababu yoyote ya kumsingizia nape kupokea Pesa moja kwa moja kutoka kwa JK.
   
 2. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  RIP Mkoloni mweusi,
  RIP CCM
   
 3. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  CCM wanajua ukweli kuwa siku za kukaa kama chama kinachotawala zinahesabika na kinachofanyika sasa ni kuanza kutafuta nani mchawi kati yao.
  Hakuna ubishi kuwa nguvu ya Chadema inazidi kukua na wananchi wanaipa support kubwa kutokana na kusimamia kwa dhati maslahi ya wananchi huku CCM ikizidi kukumbatia kulindana jambo ambalo linazidi kuiweka pabaya.
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Msekwa ameamua kuwa mkweli na kuepukana na dhambi ya urongo.
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu huu mwezi wa Toba kaona bora awe mkweli kwani ameliona kaburi lao likichimbwa mifupa inatetemeka
   
 6. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  maji yakikufika shingoni lazima useme yote.
   
 7. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nano black colonialism is cumming to an end. this is not a breaking news, it is a reality. What I know, leaving alone CCM, even CDM itself is underestimating its power. There is too much power in CDM Now.
   
 8. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante mzee....sasa unazeeka vizuri
   
 9. N

  Njaare JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135

  Haya Nape leta ngonjera zako na wewe.
   
 10. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  unaejua kweli na akashindwa kuisismamia kweli anamsononesha Mungu wake
   
 11. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mvi zake kichwani kwa sasa zinamaanisha busara
   
 12. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mbona keshapinga Mkuu, lakini kama ulivyosema, hizi ni ngonjera tu
   
 13. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Amewahi kuambiwa atulie (apumzike) awaangalie wengine waendeshe mambo ya nchi kwani yeye amekuwa mzee (ilikuwa kwenye mdahalo wa katiba mpya na tanzania tunayoitaka)
  sasa naona anaanza kulibaini hilo.
   
 14. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  CCM kuishney
   
 15. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  ukweli ni kwamba cdm wanatambua wajibu wao,wametoa elimu ya uraia ambapo watz waliowengi hawakuwa nayo,wameonesha njia kwa kutaja wahujum uchumi hadharani,wamehakikisha watz walioweng wanatambua haki zao ambao ccm haikuwahi kufanya,kuondoka madarakani hakuepukiki labda kucheleweshwe.ccm kinatafunwa na ubaguzi,waliamua kuishi kimtandao,kimakundi hivyo hawawezi kujirudi sasa is too late,kwa kweli wanaccm wamechanganyikiwa.lakini mzee msekwa kasema ukweli anaoujua lakini anaumia kutamka aliyotamka.
   
 16. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Natanguliza; ashaikhum si matusi. Kuna msemo wa kiswahili unasema KUFA KWA NYUMA MAVI HUTAWANYIKA. Naona ndiyo yanayoendelea katika chama tawala hapa nchini kwetu!

  Ni wakati mwafaka kujadili zaidi NINI TUFANYE KUIOKOA NCHI na WATOTO na WAJUKUU ZETU wasijekuwa wanataja majina yetu kama matusi!
   
 17. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Nape huwa anatoa amri sijua kama nani?

  Utasikia "Chadema waache mara moja kuvuruga amani".
  Hivi nani mtoto kiasi hichi afuate amri za kichekechea namna hii?
   
 18. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #18
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hizi ni timing to za kuivizia CDM then wanaimaliza jumla. Hapa watamshangilia na wengi kujenga imani naye na kila anachokisema, baadaye atatumia mwanya huo kuwasambaratisha kwani tayari atakuwa ameshajijengea imani kwa wananchi. Kweli siasa ni GAME
   
 19. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #19
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,143
  Likes Received: 10,497
  Trophy Points: 280
  Tunasema anzeeka kwa heshima siyo kama Mzee Mkapa.
   
 20. U

  Udaa JF-Expert Member

  #20
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 727
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Majambazi ya taifa la tz,ccm kwishney
   
Loading...