WanaOlympic wetu London hawana nguo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WanaOlympic wetu London hawana nguo!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thread critic, Jul 26, 2012.

 1. t

  thread critic Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wiazara michezo, Kamati ya Olympic Tanzania wameshirikiana katika mazingira ya ki fisadi kumpa tenda ya kusupply zile jezi mbaya na zisizofutia bwana Dewji ambaye ana kampuni ya UHL Sport ambayo inprint chapa za jezi za wanamichezo mpaka wabunge wetu.

  Lakini ukweli ni kuwa wanamichezo wetu wanadeserve better than kuvalishwa magwanda ya nyakati za baridi kwenye joto lilalotisha la London.

  Hivi imeshindikana kusign mkataba na adidas wakatengeneza special uniforms kwa ajili ya hawa wanaolympic wetu au ma designer wetu wameshindwa kuwashonea suti za maana hawa wanamichezo?

  Hii lini tutaachana na hiii anatomy of incompetency?
   
 2. a

  armanisankara JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tanzania kweli Mafisadi Wananjaa Kali. wanafanya ufisadi mpaka kwenye jezi za olympic
   
Loading...