Wananchi wagomea Mkutano wa DC Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi wagomea Mkutano wa DC Igunga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kibogo, Aug 2, 2012.

 1. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,478
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Mkuu wa wilaya aliyeletwa Igunga baada ya kuhamishwa kwa Fatuma Kimario ameonja joto la mageuzi wilayani Igunga, aliitisha mkutano wa Hadhara mnamo tarehe 27.07.2012 siku ya ijumaa akiwa na lengo la kuongea na wananchi ikiwa ni pamoja na utambulisho ili wananchi waweze kumfahamu cha kushangaza maandalizi yote ya mkutano yalikamilika lakini hakuna mwananchi hata mmoja aliyefika katika mkutano huo isipokuwa baadhi ya viongozi CCM na wachache wa serikali baada ya tukio hilo mkutano haukufanyika ilibidi wasambae.

  My Take.
  Hii inaonyesha jinsi gani wanachi wa Igunga walivyochoka na utawala wa CCM kwani siku ambayo Kasulumbai alihutubia watu waliitikia kwa wingi sana sasa iweje DC aitishe mkutano wagomee kuja.
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ndiyo hivyo, sasa hivi somo linafundishwa practically matendo yao kwa leo ndivyo yatakayo wahukumu siku za usoni!! Wanasahau kuwa nao ni binadamu kama wengine, badala ya kutendeana mema na kufahamu kuwa sisi sote twapita wanaanza kujiona wana haki ya kuishi, kutawala na hata kufanya lolote bila mipaka.
   
 3. commited

  commited JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kila chenye mwanzo kinamwisho
   
 4. d

  dmayola JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  safari hii hakuna rangi wataacha kuona
   
 5. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  kaaazi kweli kweli
   
 6. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  mmmh kama ni kweli basi ccm kwishney huko igunga
   
 7. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kweli magamba kwisha habari yao
   
 8. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kaput! Angalia sasa wanavyohaha kuwapigia magoti CUF ilki iwasaidia kukaa madarakani! Nasikia kule Mza CUF wanaungana na CCM kumiangusha CDM katika uchaguzi wa Umeya!

  Kweli dunia inabadilika kwa CCM. Kumbuka uichaguzi wa mwaka 2000 na 2005 pale CUF ilionekana tishio na jinsi CCM walivyokuwa wanaminya chama hicho, hadi (2001) kuwauwa wafuasi wake huko Pemba. Leo hii CCM inawapigia CU magoti?

  Keli CCM kalas kabisa!
   
 9. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Usilete togwa za mchana, tangu lini DC mwajiriwa wa serikali anaitishiwa mkutano wa kutambulishwa kwa wananchi?
  Hebu tueleze kwingine nchini utaratibu huu ulikotumika.
   
 10. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #10
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  wananchi wamechoka kukalishwa juani na jioni wakose hata maji ya kunywa. Pumbaf sana, watafute shughuli ya maendeleo itakayojumuisha wananchi na ye akashiriki ndo ajitambulishe sio kuwapotezea wananchi muda aafu wewe unachukua per diem na kuondoka. Mzee wangu alitaka kumkata mwenyekiti kisa alikuwa anamwambia kwenda kwenye mapokezi ya makamu wa rais siku ambayo amepanga kwenda kukagua miti yake aafu siyo siku ya mapumziko.
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Wangewaahidi ubwabwa na ze komedi angalau angepatapata watu...
   
 12. a

  andrews JF-Expert Member

  #12
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
 13. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #13
  Aug 2, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sina Imani na Igunga, wakiletewa chakula cha msaada wakati wa kampeni, watabadilika rangi na kuwa wa Kijani. "YANGA OYEEEE"
   
 14. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #14
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hope hawatamkamata mwenyekiti wa Wilaya wa Chadema wakidai kamzuia DC mpya kufanya kazi na wananchi maana they are full of surprises hao .
   
Loading...