Napata wasiwasi na watendaji wa Rais! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napata wasiwasi na watendaji wa Rais!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Eeka Mangi, Aug 2, 2012.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nilisikiliza kiasi hotuba ya rais wa JMT brother JMK jana! Alijaribu kuremba sana ingawa kwa kiasi kikubwa hakuweza kuridhisha hadhara ya Watanzania kuhusu matatizo mbalimbali.

  Labda niseme tu kuwa Mtendaji ama watendaji waliompelekea kimemo pale mezani na kumdanganya Rais kuwa CT SCAN moja inacost 700,000 dollars ni mwongo mkubwa na anastahili kuwajibishwa na rais wake kwa kumdanganya. Nikiwa kwa kiasi fulani ni mdau wa afya, nimefuatilia hili na nikagundua kuwa hardly CT SCAN ghali kabisa ni 300,000USD. Tuangalie tunapotoa data ambazo sio za kweli wananchi watawaelewa vipi.

  Hata hivyo utetezi wa kuwa mwenye kujua pa kununulia hiyo CT ambayo ni sawa nabei ya kilimo kwanza moja sio mzuri as angejibu tu kuwa angetuma wataalamu wafuatilie madai hayo. Kujibu kwa ujumla namna ile ni sawa na kuiamini source ya information yake ambayo sio sahihi

  Below are prices of some CT(COMPUTE TOMOGRAPHY)
  the compute tomography machine costs depends upon the technology systems
  siemens ------------------200000 usd approx
  toshiba -------------------180000 usd approx
  beckam coulter------------250000 usd approx
  sharp------------------------200000 usd approx
  ge----------------------------300000 usd approx
  phillips ----------------------140000 usd approx  Plus software and technician time. We just got a new siemens definition and its costing 450k (minus software upgrades) so that 200k is really low ball.

  Naomba kuwasilisha
  EM
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hata sio watendaji tu,yeye mwenyewe ni mbayuwayu,anapenda kuongea chochote anachooambiwa akijua mtanzania wa sasa ni yule wa 2000,kumbe wa tz sikuhuzi wanafatilia kila kitu na ukweli wanaujua,sasa yeye anashindwa hata kuuliza more than 1 operson.mdhaifu sana.
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  MKUU NAWEWE UNATAKA TUKUAMINI TUU BILA KUTUPA SOURCE YA BEI ZAKO MKUU!
  TUTAJUAJE KAMA HAUJATOA KICHWANI MWAKO @Eeka Mangi
   
 4. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Serikali hainunui vitu kwa bei ya kawaida, kwani huwa wanaongeza walau maradufu kupata kitu kidogo. Hukusikia ofisi moja walinunua mayai kwa bei ya Tsh 8,000 kila moja na hakuna aliepelekwa jela japo kamati ya bunge iligundua wizi huo.Pathetic!
   
 5. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,001
  Trophy Points: 280
  Udhaifu umeanzia kwa serikal hadi watendaji
   
 6. m

  massai JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Vipi yule doctor alieambiwa akachukue hela akanunue anasubiri nini?hata kama ile figure aliyosema doctor sio sahihi angeenda ampe huyo dhaifu elimu angalau angemuelewa kuliko huyo aliemdanganya kua ni dola laki saba.sasa asije akatuambia alidanganywa kama yule mama aliepewa uwaziri wa manoti kipindi flani
   
 7. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mkuu umenena,
  Najiuliza sipati jibu,Rais wetu anaweza nini???????
  Madai ya madaktari awezi!!!!!
  Madai ya walimu awezi!!!!!
  Sasa anawe nini jamani???
   
 8. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu unaweza hata wewe ku google tu its not that hard bana pata hata hapa How much does CT Scan machine cost

  Need to say more kiongozi?
  EM
   
 9. Mpendwa

  Mpendwa Member

  #9
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali ya Mh JK inaonekana kushindwa kila mahali na katika sekta zote....

  1. Haiwezi kulipa waalimu
  2. Haiwezi kulipa madaktari
  3. Haiwezi kuwajibisha mafisadi, inaishia kuwatetea
  4. Haiwezi kutetea wanyonge zaidi ya kuwasaliti na kuwatekeleza
  5. Haiwezi hata kulitumia vema jeshi la polisi
  6. Haiwezi kuunda tume huru ya kuchunguza matukio ya kigaidi kama ya Dr Ulimboka, Zombe nk
  7. Haiwezi kununua CT scan pale muhimbili na hospitali za rufaa
  8. Haiwezi kuboresha miundombinu ya umeme na maji.... iliyopo ni tangu wakati wa Mwl Nyerere (RIP)
  9. Haiwezi kusajili vyombo salama vya usafiri majini
  10. Haiwezi kuwalipa mafao wazee wa afrika mashariki mpaka wanatuvulia nguo pale serander bridge
  11. Haiwezi haiwezi.....

  wadau Nisaidieni kujaza 'haiwezi' nyingine za serikali ya huyu jamaa
   
 10. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #10
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Lakini wanajua kula rasilimali zetu
   
 11. D

  Dopodopo Kadopo Senior Member

  #11
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie nimemuelewa mh Rais, kataja bei kwa mujibu wa serikali anayoiongoza, serikali ya JMT na yeye ni Rais wa JMT. Sasa mleta hoja utueleze bei zako ni kwa mujibu wa nani? Na mara nyingi wakinunua huwa wanaongezewa bei kwa makosa ya vitabu mpaka wanarudishiwa chenchi. Labda tungemuuliza hiyo bei ya CT scan aliyoitaja yeye anategemea serikali yake watarudishiwa chenchi kiasi gani?

  Lakini hata kama bei ya CT scan ingekuwa zaidi ya mashangi 10, cha kujiuliza hapa, kipi ni muhimu, afya ya waTZ au mashangingi ya viongozi? Hapa ndio muone viongozi wetu wasivyo tujali, amkeni jamani tutalala mpaka lini kufikia kujitambua?
   
 12. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #12
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kauli yake ya jana kama kuna mtu anajua aweza pata CT-SCAN kwa bei sawa na V8 aende atampa tenda ya kusupply.So mkuu do the needful
   
 13. hendeboy

  hendeboy JF-Expert Member

  #13
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu tusaidie source ya hizo bei na sisi tujiridhishe
   
 14. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #14
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha kama angekuwa mtu wa kutimiza ahadi angekuwa ni mtu safi ever! Ataishia kucheka cheka tu mkuu. He knows the fact lakini anawafanya watanzania bado ni wale watoto wa miaka ile waliokuwa wanaambiwa wototo hudondoshwa na ndege!
   
 15. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Maswali ambayo bado yananitatiza ni kujua dhumuni la ile press conference ilikuwa nini?what was the Substance in that meeting if i may ask?:eek2:
   
 16. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #16
  Aug 2, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mmh atabisha kuwa hakutoa kauri kama hiyo!
  Kumbuka sitaki kura za wafanyakazi!
   
 17. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #17
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
 18. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu nimeipata, hope hata nape ameipata ataipeleka kwa mkuu wa nchi!
   
 19. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #19
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  elewa kuwa kunnunua tu CT SCAN siyo issue bali jumlisha na maandalizi ya mahali itakapowekwa hivyo ni muhimu kama hapa chini inavyojionyesha

  the compute tomography machine costs depends upon the technology systems
  siemens ------------------200000 usd approx
  toshiba -------------------180000 usd approx
  beckam coulter------------250000 usd approx
  sharp------------------------200000 usd approx
  ge----------------------------300000 usd approx
  phillips ----------------------140000 usd approx  Plus software and technician time. We just got a new siemens definition and its costing 450k (minus software upgrades) so that 200k is really low ball.

  There is also the cost of the Tomography room where the unit sits in. It consists of specialty HVAC system that provide perfect humidity and temp.control. Also specail independent electrical circuits to power the equipment, and RAM (radio absorbent)materials for the walls. The cost of a CT room can varry from $250,000- $750,000.

   
 20. Mwita Matteo

  Mwita Matteo JF-Expert Member

  #20
  Aug 2, 2012
  Joined: May 16, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hotuba ya Mwisho wa mwezi kupitia kwa wahariri
   
Loading...