JK amteua Mwambene Mkurugenzi wa MAELEZO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK amteua Mwambene Mkurugenzi wa MAELEZO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bibikuku, Aug 1, 2012.

 1. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wana JF

  Taarifa nilizonazo ni kwamba JK amemteua Bw. Assah Mwambene, Afisa Habari wa wizara ya mambo ya nje kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO.

  Mwambene anachukua nafasi ya Clement Mshana ambaye alikuwa MAELEZO lakini sasa ni mkurugenzi wa TBC aliyechukua nafasi ya Tido Mhando.
   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Safi sana na JK na hongera sana Mwambene kwa nafasi uliyopata. Tunakuomba usafishe hii sekta ya habari kwani wengi wa waandishi ni makanjanja sio weledi, na uwaeleze kuwa hata habari ina mipaka yake, UHURU BILA MIPAKA NI SAWA SAWA NA WENDAWAZIMU, wasio taka kufuata maadili ya uandishi wafungieni km wakina Kubenea

   
 3. m

  markj JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  TATIZO LIKOWAPI? aliyetoka si kapandishwa na kupewa majukumu zaidi kuwa mkurugenzi wa TBC! sasa ulitaka tbc awe mkristo na maelezo awe mkristo! je! iyo nafasi alio iacha assah unajua ni dini gani kaijaza! mnafiki kafiri mkubwa wewe! udini unaunzisha mwenyewe!
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Utafungia wangapi
  maana unaweza kuwafungia wote mpaka na wewe ukajikuta umejifungia
  maana huko ni kuwafanya watu wajiulize kile ambacho wewe umemfungia huyo mwandishi kilikuwa na athari gani
  uhuru huo wa kutoa maoni upo kikatiba na huwezi kuuchukua bila kutoa nafasi ya kujitetea kwa yule mtu ambaye umemnyima uhuru huo
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Elewa nilichosema ' UHURU BILA MIPAKA NI SAWA SAWA NA WENDAWAZIMU' hata hiyo katiba imeweka uhuru huo sio kila kitu , USITUMIE KICHWA KUFUGIA NYWELE TU BALI PIA TUMIA KWA KUFIKIRIA.

   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  naona unatumia nguvu nyingi sana kutetea kile ulichokisema
  Hatubishani wala hakuna ubishi hapa ni kelewa katika kutokuelewana
  So nenda tuu taratibu mkuu utafika na lengo lako litafanikiw a
  Hata hivyo natumia kichwa changu kufikiri sio kufuga nywele
   
 7. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #7
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Assa Mwambene hongera sana kwa kuteuliwa kuwa mkurugenzi mkuu wa MAELEZO.Sina shaka na uwezo wako.

  Umakini wako ukiwa mambo ya nje nimeuona.Naamini urasimu na mizengwe pale Habari MAELEZO utaondoka.

  Naamini utaweka utaratibu mzuri ili kuboresha pia tasnia ya habari na waandishi wasio na uwezo hawatafanya vibaya tena kuchafua hali ya hewa katika Tasnia hii.

  Kwa moyo mkunjufu kabisa nakupa hongera kwa kuteuliwa.I wish you the best as you carry out your duties
   
 8. m

  markj JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  mkuu it was simple, issue hapa tukiwa kama greatthinkers ilikuwa ni kujadili +ve au -ve ya huu uteuzi kutokana na uelewa wa kila mwana jf! tunauonaje huo uteuzi! istoshe uyo assah mwambene mwenye wengi humu ndo kwanza tunalisikia jina lake! mimi nimejiunga jf sina muda mrefu na nikwasababu nilikuwa nikisikia kuwa mpaka viongozi mblml wa siasa na nk walikuwa wakichangia na kulikuwa na weledi na elimu ya hali ya juu mtu naipat! ila nashangaa sijayakuta hayo! nimeambulia kutukanana na watu tu daily!
   
 9. M

  Mwanaharakati Mkweli Member

  #9
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safi sana ndugu, mimi nina wasiwasi na huyo jamaa ukiyemcout hapo juu maana anaonekana amekaa kidini zaidi bila kufikilia maendeleo
   
 10. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 874
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 60
  Huyu jamaa ndo wale watanzania wanaofadika na maovu ya serikali na kutetea kila mavi ya serikali hata kama hayana msilahi ya umma.mabavu , sheria kandamizi, ubabe, kanuni za kupindisha ndo zinazohamasisha umma kuhoji kulikoni.hakuna nchi inayoweza kwenda kama ilivyo leo.Kila mahala vurugu tu.Ukiwa mtetea haki unakutana na wauaji kama usalama wa taifa.Ukitaka kuamsha umma uelewe unakutana na vibaka wa mtindio wa ubongo wanaotumiwa na nape na serikali dhalimu ya ccm.Tuende tutafute msitakabali wa nchi kwa maslahi ya umma na si masilahi ya chama.Kila mtu akidai haki kifo, mahakanani, kufungia asifanye kazi , vitisho .Kis mipaka ya uhuru kivipi?huku ni kubaka uhuru wa demokrasia kakatika kujenga nchi yenye utawala wa haki ya sheria na utawala bora unaozingatia masilahi ya umma.
   
 11. m

  markj JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  alafu mbaya zaidi watu wanaye mjua huyo assah mwambene wameifanya statement yake kuwa FALSE! mana kwa nafasi aliyokuwa nayo assah pale foreing si than kama ni rahisi kwa watu wa kawaida kumjua! na hata hiyo anayoenda pia huenda watu wasimjue sana! mana hili jina lenyewe wengi tumelijulia humu jf tena leo
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145

  Ok Assah aliishi Nje ya nchi kwahiyo anajua UHURU WA WAANDISHI WA HABARI; FREE THEM - NCHI itakuwa SALAMA

  NA MAFISADI na WAWEKEZAJI UCHWARA... Kwahiyo FREE MWANAHALISI!!!
   
 13. a

  afwe JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Nchi haitajengwa kwa mitazamo ya udini na ukabila. Tuangalie kama aliye teuliwa ana sifa za kupewa hiyo nafasi? historia yake ya utendaji ikoje? tutegemee nini toka kwake?
   
 14. Young Tanzanian

  Young Tanzanian JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,740
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  TBC aliyeibadlsha na kuwa na muonekano wa taasisi ya watanzania ni Tido mhando huyu jamaa mpya ndiye kila sku anafungia magezet pale maelezo sidhan kama ana uwezo na exposure ya kutosha kwa tbc pia nina waswas na huyu aliyekuwa foreign affair kaletwa kisiasa zote hizi naona ni mbio za urais 2012 cz hizo ni area nyeti kwa kuzuia au kuruhusu matangazo yenye threat kwa wapnzan wa nje NA NDAN YA CHAMA TUSUBIR UTENDAJI WAO TUONE...TIME WIL TEL
   
 15. Young Tanzanian

  Young Tanzanian JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,740
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kumradhi mbio za urais 2015
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kusema kuwa aliyemteka Ulimboka ni Rama wa ikulu ndiyo kuvuka mipaka hata kama kuna ushahidi?
  Nilidhani kwanza serikali ingejitetea dhidi ya tuhuma zilizoelekezwa kwake kabla ya kuzichukulia hatua walioituhumu serikali!
  Wafunge zote, awamu hii hata mawe yatasema!
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Mkuu tupo Pamoja, lakini kuna haja gani kushadadia udini? Mimi ni Muislam safi, mambo ya udini udini hata kwa mambo madogo kama haya mimi sioni maana yake
   
 18. 911

  911 Platinum Member

  #18
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Yu wapi Game Theory jamani!!???
   
 19. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Sasa hapo kapanda au kashuka maana sie wengine vyeo vya serikali tunaishia kwa rais,waziri,katibu wa wizara,wakurugenzi,mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya mengine yanatuchanganya
   
 20. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  wanaudhi sana hawa watu mkuuIssue ndogo tuu wanaingiza maswala ya dini humoKwani dini yake ndio itasaidia utendaji wake wa kaziKuna watu hawana dini yoyote ila ni watendaji wazuri na kuna watu wenye dini ila hawafai kabisa kutokana na matendo yao
   
Loading...