Mgomo wa Waalimu umeanza miaka 10 iliyopita! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa Waalimu umeanza miaka 10 iliyopita!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wimana, Aug 2, 2012.

 1. W

  Wimana JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 2,453
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 145
  Najua mnashangaa, lakini jiulizeni; inawezekana vipi?
  Nasema waalimu walianza mgomo zaidi ya miaka10 ilopita kwa kupima mambo yafuatayo;-

  1. Pamoja na kuongezeka idadadi ya shule na wanafunzi, Idadi ya wasiojua kusoma na kuandika haijapungua!

  2. Inawezekanaje, mwanafunzi anafaulu shule ya msingi na anafika sekondari, kidato cha 4, hajui kuandika hata jina lake?

  Tumesoma magazetini, wazazi wanashangaa imekuwaje watoto wao wamefaulu kuingia sekondari wakati watoto hawajui hata kusoma!
   
 2. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Habari ndio hiyo, kalagabaho.
   
Loading...