Joseph Mungai kupandishwa kizimbani na TAKUKURU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Joseph Mungai kupandishwa kizimbani na TAKUKURU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Salary Slip, Aug 2, 2012.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,015
  Likes Received: 37,743
  Trophy Points: 280
  Mahakama mkoani Iringa imetoa uamuzi kuwa bwana Joseph Mungai aliekuwa akishiriki kinyanganyiro cha ubunge ktk jimbo moja mkoani Iringa kuwa ana kesi ya kujibu juu ya tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa ktk uchaguzi mkuu uliopita wa mwaka 2010.

  Source:ITV habari za saa.
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Maskini ankali JJ jela inakunukia
   
 3. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ilikuwa jimbo la mufindi kaskazini,,mzee wa hovyo sana huyo
   
 4. N

  Natasha Ismail JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Jamani mara ya pili? si alishinda kesi huyu?
   
 5. a

  andrews JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​si ni mkenya huyo
   
Loading...