Tunapokwenda na Tulipotoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunapokwenda na Tulipotoka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by msambaru, Aug 2, 2012.

 1. m

  msambaru JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Wanajamvi mimi haya mambo yananipa wakati mgumu kuelewa, kabla na baada ya uhuru tulikuwa wananchi na serikali yao tulikuwa kitu kimoja na sote tulikuwa na adhima ya kupigana na maadui watatu ambao ni ujinga, maradhi na umasikini. Katika hali isiyo kuwa ya kawaida tumeparaganyika na sasa wananchi na serikali ni kama maji na mafuta jambo ambalo mimi naona wananchi tumeongeza adui mwingine ambae ni serikali licha ya wale wenzake kuendelea kutumaliza na kutudumaza, swali je huyu adui wa nne tunamfanyaje nae awe rafiki kwetu kama wenzake ambao utmeishi nao na kuwazoea?
   
Loading...