walimu wenzangu mko wapi

Serikali inaingilia mahakama
mahakama wanafuata matakwa ya rais.
Jana rais kawaelekeza jinsi ya kutoa maamuzi.
Ama kweli nchi hii!!!!
Balaa tupu!
Poleni walimu wenzangu hata salary huku Arusha walisha tubania sasa cjui wataachia!!!!!!!
 
Serikali inaingilia mahakama
mahakama wanafuata matakwa ya rais.
Jana rais kawaelekeza jinsi ya kutoa maamuzi.
Ama kweli nchi hii!!!!
Balaa tupu!
Poleni walimu wenzangu hata salary huku Arusha walisha tubania sasa cjui wataachia!!!!!!!

Mizaha mizaha kwa walimu, haya!!! Hafi mtu leo lakini jamii inakufa pole pole. Tutegemee 'wasanii' na 'wahubiri' wengi zaidi kwenye mitihani ijayo. Safari hii hat matusi ya kwenye magagulo yataandikwa kwenye scripts maana hao walimu sina imani kama watakuwa na moyo wa kuwaweka sawa watoto ki-saikolojia kila siku wakati wao wanafanywa kama makatuni tuuu
 
Ndugu yangu, nakwambia kazi ni kubwa mwaka huu. Watu wanakufa hospitalini na watoto watafeli mashuleni hadi wakome. Nani atakuwa na muda wa kufundisha kwa moyo katika hali hii? Me nikifika skonga nasaini kitabu cha mahudhurio natoa notsi kwa watoto wanaandika kisha naingia uswazi. Hiyo ndiyo maisha ya kuanzia kesho. Mshahara kweli hautoshi kunifanya nishinde shule kutwa nzima, wala sina muda wa CONSULTATION na wanafunzi, muda wangu mwingi lazima niutumie kwa kazi nje ya kufundisha, pengine maisha yanaweza kwenda kwa mtindo huo. Nawashauri waalimu wenzangu, tunaweza kufanya kazi nyingine nyingi sana nje ya kufundisha, lakini tukiwa waalimu na maisha mazuri yakapatikana. TUJARIBU, TUNAWEZA, NA TUTASONGA MBELE KIMAENDELEO.
 
Walimu tutulie tupige mzigo kisanii kama serikali inavyotufanyia usanii. Matokeo yake yataonekana at the end. Worry not.
 
Back
Top Bottom