WABUNGE wa Zanzibar kuchangia wizara ZISIZO za MUUNGANO. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WABUNGE wa Zanzibar kuchangia wizara ZISIZO za MUUNGANO.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sr. Magdalena, Aug 1, 2012.

 1. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Heshima mbele sana wakuu,

  Vipi sheria zetu na katiba yetu inasemaje kuhusu hili,

  Tunaelewa kuna wizara ambazo haziko kwenye muungano, je wabunge kutoka Zanzibar wanastahili kutoa michango yao bungeni juu ya wizara hizi katika bunge hili la bajeti, jee huu siyo uvunjifu wa sheria na katiba, Kwa kuwa wabunge kutoka bara hawana uwakilishi kwenye bunge la Zanzibar na wala hawachangii kwenye wizara hizo za Zanzibar zilizo nje ya muungano.

  Naombeni mwongozo wenu juu ya hili.

  Sr. Magdalena
   
 2. J

  JokaKuu Platinum Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,775
  Likes Received: 4,998
  Trophy Points: 280
  ..mimi nalia na mapesa yanayokusanywa Tanganyika na kuwapa wa-Zanzibari.

  ..nalia na bilioni 32 alizopewa Dr.Bilali kwa ajili ya "maendeleo ya Zanzibar."

  ..kuna nyingine bilioni 9 kapewa kwa matumizi binafsi.

  ..wakati huohuo sijaona popote kwamba Ofisi ya Makamu wa Raisi imetenga fedha kwa ajili ya maendeleo ya Tanganyika.

  ..pesa hizo zingeweza kujenga shule ya sekondari au chuo cha ufundi katika kila mkoa wa Tanganyika.

  ..MUUNGANO UNATUNYONYA WATANGANYIKA.
   
 3. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  kero moja ya muungano.
   
 4. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kweli bwana wazenj wametuzidi kete, cha Tanganyika na wao wamo , cha Zanzibar sisi hatumo! ndio faida ya kudumisha fikra za mw.......! .
   
 5. m

  mkataba Senior Member

  #5
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Wacha ulaza wako, wizara zote zilizo kwenye Jamhuri ya Muungano ni za muungano isipokuwa zile zilizo SMZ, Zanzibar; hapana shida wabunge wa Zenji kuzichangia.

  Mpaka itakaporudi Tanganyika yetu.
   
 6. H

  Hydrobenga JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 1,124
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Utakuwa bado upo Darasa la tatu....maliza mpaka la saba ...kisha uje hapa utwambie wizara za muungano ni zipi na zisizo za muungano ni zipi.....inaonyesha hujui vizuri muundo wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...kama wewe ni mrundi sema
   
 7. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145


  Kwanini wakae Kimya? Kama Wanaona hizo Wizara hata kama sio za Muungano zina Vijidudu vitavyoelekea kwenye

  Wizara za Muungano na kuziharibu? Mfano Mzuri Tanesco na Wizara ya Maji... Utajuaje Mipango ya watu wa Wizara ya

  Maji wanafanya UHUJUMU kufungua MAJI YA BWAWA LA MTERA; KIWANGO KINASHUKA; Na Unajua TANESCO

  Wanavyopenda UMEME WA MTERA - ni Wa MAJI na Jenereta za Mafuta hapo ndio wanapotajirika hao MAFISADI

  KWAHIYO MBUNGE au MWAKILISHI anapaswa kuuliza Maswali WIZARA YA MAJI kwasababu ya Muungano wake au

  Uhusiano wake na WIZARA YA NISHATI na MADINI ambayo ni ya MUUNGANO; na WAWAKILISHI wengine ni wakali

  nawapenda - Mmoja alisema Kwanini tusianzishe sheria ya KUWANYONGA MAFISADI WA SERIKALI ??? I LOVE THAT!!!
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ninachowapenda ni Wakali; Mmoja amependekeza kuweka sheria ya kunyonga MAFISADI walioka SERIKALINI ina Maana

  Hata Wabunge wakipatakana kufisadi... IWE KWENYE KATIBA...
   
 9. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  wewe ndo kilaza tena kilaza squred kwa nini usimweleweshe vizuri kuliko kumtusi.Hivi wewe kwa kutumia akili ya kawaida jiulize kwa nini ukiondoa Wizara ya Mambo ya Ndani,na Ulinzi jiulize kwa nini mawaziri wa wizara zingine hawana amri SMZ?mfano waziri wa ardhi wa Tanzania hawezi kufanya maamuzi yoyote kwenye ardhi ya Zanzibar,vile vile kwa nishati na madini....kwa ujumla kuna udhaifu mkubwa kikatiba.
   
 10. m

  muchetz JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Muundo sahihi wa muungano ni jawabu ya hili, na mengine mengi zaidi. Tuweke kwanza muundo sawa then tutakuwa na cha kujadili(boresha).!!!! Its simple logic.
   
 11. H

  Hydrobenga JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 1,124
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wewe ni Kilaza to infinity...kwani umeshindwa kuwa na jibu la swali rahisi kama hili.....lile ni bunge la jamhuri ya muungano ya Tanzania...na wale wabunge ni wa serikali ya muungano....na wizara zote zinazojadiliwa ni za muungano ..kwa hiyo wabunge wote wana haki ya kuzijadili....mwalimu wako wa uraia Darasa la tatu ni Kilaza....
   
 12. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Today 22:20
  #11 [​IMG] [​IMG] Member Array


  Join Date : 2nd July 2012
  Posts : 37
  Rep Power : 312
  Likes Received4
  Likes Given2
  Samahani nilikuwa sijsaangalia hapa :israel::israel::israel::israel:
   
 13. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Wanzanzibar wote ni watanzania lakini si watanzania wote wazanzibar!
   
 14. H

  Hydrobenga JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 1,124
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Pumba........................
   
 15. H

  HAKI UINUA TAIFA Member

  #15
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 7, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usishangae hilo ndg, wapo ambao ni mawaziri kamili katika wizara zisizo za muungano Watanganyika tumelala usingizi mzito. Eeeee Mungu wa rehema tuamshe katika usingizi huu.
   
 16. D

  Dezo Member

  #16
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wala bado hi ndo mwanzo tu kazi kwenu viongozi wenu wananza kujipendekeza kwa wazenji.
   
 17. D

  Dezo Member

  #17
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si kweli mimi naona Wazanzibar wote ni Wazanzibari na Wataznania wote ni Watanganyika Wazanzibar wala hatutaki utanzania.
   
 18. H

  Hydrobenga JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 1,124
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Watu wanafanya maksudi....wote tunajua hakuna serikali inayoitwa Tanganyika....tuna serikali mbili tu ..ya Tanzania na Zanzibar...kwa hiyo mpaka tutapopata serikali ya Tanganyika..ndio tutaweza kusema wizara fulani ni ya Tanganyika..hili ni rahisi sana kulielewa lakini watu wanataka kuleta ligi zisizo na msingi
   
 19. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #19
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,109
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  kuna wizara ambazo sio za muungano ndio maana zinatakiwa zisiongozwe na wazanzibar lakini watawala kwa makusudi wamekuwa wakivunja sheria kama wazanzibar wana wizara zao ambazo hawataki zisiguswe na watu wa bara lakini wao wamekuwa kipembembele kujadili mambo ya bara hiki kitu inabidi kiangaliwe kwa makini nampongeza mtoa mada kwa kuonyesha udhaifu mwingine wa muungano
   
 20. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #20
  Aug 2, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,141
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Du ! mkuu unaongea kwa uhakika as if unajua unachokiongea , nani kakuambia wizara zote ni za muungano ,
  mfano , wizara ya Uchukuzi sio ya muungano na wazenji walikuwa wanachangia kama vile inawahusu ,
  Mwakyembe leo kafanya cha maana sana kuwaambia ukweli , maana hata hizo ajali za meli mlikuwa mnaanza kusukumia
  kwamba ni sababu ya wabara , mkipewa mamlaka ya kuamua mnalalamika , mkinyimwa mnalalamika pia
  nyie ni watu wa aina gani aiseeee ?
   
Loading...