Sikukuu ya Nanenane ni kiini macho kwa wakulima

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,293
24,173
Maoni ya wa-Tanzania kuhusu sikukuu ya wakulima ya Nanenane na kauli-mbiu KILIMO KWANZA wadai ni kiini macho kwani hakuna mkakati wa kweli kupitia serikali kuu, serikali za mitaa kuleta mapinduzi kwa wakulima kupitia kilimo cha kisasa, pembejeo , mawasiliano na masoko.

Sikiliza malalamiko wa wananchi live pengine maoni yao yatasaidia serikali kuu kuhojiwa ktk kikao cha bunge kinachoendelea Dodoma:



video kwa hisani ya ITV TANZANIA ya YOUTUBE.
 
Last edited by a moderator:
amna kitu kama kawaida sio kila mtu atakubaliana na wewe..KILIMO KWANZA inahusika na NI UTI WA MNGONGO KWA UCHUMI WA NCHI YETU CHANGA..
 
Back
Top Bottom