Akijibu swali la Wenje, Mwakyembe amesema kwamba taarifa zake si za kweli, "Ndiyo tatizo la kuchukua data kwenye JamiiForums."
Tujiulize, data za uwongo au uzushi ni hizi?
https://www.jamiiforums.com/interna...eased-obsolete-aircraft-for-air-tanzania.html
Mjadala huu umefungwa; fuatilia mjadala weny data hapa - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...mzo-ya-kutoa-bandari-ya-mtwara-haya-hapa.html
Tujiulize, data za uwongo au uzushi ni hizi?
https://www.jamiiforums.com/interna...eased-obsolete-aircraft-for-air-tanzania.html
Naomba nikusahihishe ili kuondoa upotoshaji. Mwakyembe hajatamka: "Ndiyo tatizo la kuchukua data kwenye JamiiForums", bali ametamka:
"...hilo ndio tatizo la kutegemea sana JamiiForums"; binafsi sioni ubaya wa kauli hii kwani mbali ya kupata habari JF au chanzo kingine chochote, ni vizuri to verify na vyanzo vingine kabla haujawa na uhakika na unachokisema. Vinginevyo Dr. Mwakyembe ni dhahiri anaheshimu sana JF kama chombo cha habari na hii ilidhihirika wakati ule anaugua.
Mjadala huu umefungwa; fuatilia mjadala weny data hapa - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...mzo-ya-kutoa-bandari-ya-mtwara-haya-hapa.html